Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Wakuu ni Software gani nzuri kwaajili ya Data recovery?
Kuna min tool, hetman na easeus pia ni nzuri. Ukumbuke software huwa zinamapungufu kwahiyo zingine unaweza kurecover lkn picha zikagoma kuonesha, au video. Kwa picha tumia hii ashampoo photo recovery hii ni mwisho wa matatizo
Naongezea kwa pirate
 
Pia PC yangu mkuu inakamata wireless but inachagua. Wirelss kwa simu ya jamaa inakubali but kwa simu yangu inakataa na sikuwah kuunga hapo kabla[/QUO

kwa solution basi fanya hivi

nenda kwenye network and internet settings--manage known network(mostly kuanzia windows 7 na kuendelea juu cjajua xp inakuwa na jina gan hapa) kisha angalia hiyo wifi yako inayogoma kisha click then nenda sehemu wameandika forget then connect tena ikidai password basi ingiza, hope itasaidia
 
Mkuu PC yangu DELL Inspiron zile za zamani saana sjaitumia muda mrefu. Sa nimeiwasha inawaka vzur Windows XP ila inamandishi mabaya sana mkuu, yan hata ikiandika Googke mandishi hayana mvuto (sio HD). naomba ushauri

ungeweza kutuma screenshot ingekuwa poa, but pia unaweza kudadownload fonts online ili ubadilishe maandishi kama ndio hiyo

pia kama uoni kila kitu vizur basi download driver ya video
 
Jaman nina pc yang ya Ibook G4 sasa tatzo lake ni hua inawaka kwa shida ad niipigepige kidogo kwene Keybord na ikikaa kigogo inazma.. Je tatzo ni nini wadau

kama inazima kabisa basi ishu ni hardware na sana ni cpu ndio inayosababisha kuzima iwapo fen kama yazunguka vizur, na pia kama unaweza fungua uone tatizo hasa n nini had uipige kwenye keyboard ndio inawaka?
 
Nina shida ya kununua laptop nzuri na mpya kwa matumizi ya kawaida especially kwa mwanafunzi wa irrigation engineering naomba specification za laptop nzuri kwa budget ya 700,000 to 900,000 na wapi (duka) naweza kununua kwa either Dar ama Mwanza (hata kama chini ya hapo maana anaweza akaja mtaalam akasema zipo za chini ya hapo nzuri)
 
Wadau, nahitaji monitor inch 15+ aina yeyote ile kwa Tsh 50000 mpaka 65000 nipo mwanza kama unayo tuwasiliane Pm au whatsapp 0652105601
 
kama inazima kabisa basi ishu ni hardware na sana ni cpu ndio inayosababisha kuzima iwapo fen kama yazunguka vizur, na pia kama unaweza fungua uone tatizo hasa n nini had uipige kwenye keyboard ndio inawaka?
Ndio mkuu ad nipge keybord au chin
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya

Karibuni sana wakuu

Pirate
Nina laptop yangu Acer aspire E 15
Imezima ghafla na haiwaki tena lakini charge inaingia. Nifanyeje wakuu
 
Wakuu wa jamvi, mna laptop yang hp envy 15 touchsmart nikiizima inaisha charge yenyew taratibu. Tatizo linaweza kuwa ni nn?
 
Touch pad ya Laptop yangu ipo too sensitive.Nifanye nini?
 
Kiongozi Nina PC yangu Hp, nikiiwasha inawaka lakini haitaki kuonyesha mafile/programu
 
Hellow wadau poleni na majukumu, naombe kujua zoezi hili, natumia modem kwenye pc sasa nataka kushare wireless kutoka pc to phone, nafanyaje..?
 
Pc yangu inarusha kwa mbaali kwenye sehemu ya keyboard..na ukihitaji kuongeza ram kutoka 2gb mpka 4gb ni sh ngapi!
 
Back
Top Bottom