Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Wadau, naombeni msaada wa hili tatizo la laptop [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Guys
DELL LATITUDE E6420 CORE i5 iko na tatizo la overheating, hasahasa wakat ikiwa pluged in, fan yake inapiga kelele tofaut na awali. Tatizo linaweza kuwa n nn hapa...
Msaada wenu watalaam wa tech..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Redmi7
 
Habari wakuu nina tatizo kwenye display ya PC yangu aina ya HP Elite. Kwamba iki sleep nikigusa cursor haidisplay adi niizime afu niiwashe tena. Msaada wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ujue maelezo bado yako nusu, je ukichomeka chaja bila battery inawaka???

tunachojaribu kufanya hapa ni ku narrow down tatizo maana computer inaweza toa dalili moja kwa matatizo zaid ya ma5 na kujua tatizo exactly lazima uulize maswali na kisha upime pcb components baada ya kunarrow tatizo kutokana na maelezo yako
Yeah,, inakuja logo ya HP

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichomeka chaja bila battery inawaka kidogo, halafu inazima.

Kunakuwa na taa inawaka muda wote
ujue maelezo bado yako nusu, je ukichomeka chaja bila battery inawaka???

tunachojaribu kufanya hapa ni ku narrow down tatizo maana computer inaweza toa dalili moja kwa matatizo zaid ya ma5 na kujua tatizo exactly lazima uulize maswali na kisha upime pcb components baada ya kunarrow tatizo kutokana na maelezo yako

Sent using Jamii Forums mobile app
20200421_160522.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pc yangu mwanzo ilikuwa inacheza vzr GTA 5 ila kwa sasa inagona na sijabadili Window, shida yaweza kuwa nn
 
finally hapo sasa maelezo yametosha kujua tatizo


1. ukiona taa ya chaja inawaka ujue 19volts rail na startup chip iko ok
2.kwa hapo sasa tatizo liko kwenye CHIPSET(NORTH BRIDGE), MEMORY AU CPU

ss kikawaida kama sio fundi sina namna hapo ya kukuelekeza kwa sabab hautanielewa

kwanza inabid kuingiza umeme mdogo kwenye motherboard (chini ya volt 10) ili kuangalia ni kama inashot au la, kwenye hayo maeneo tarajiwa,

pia unaweza tumia multimeter kuangalia short kwa kutumia diode mode au resistance mode



ukishapata eneo lenye shorts ss una narrow down na kuanza kupima pcb compents za eneo lenye shot
-mosphets
-ceramic capacitors
-power suplies
-electrolytic capacitors

hvo ndo mara nyingi vinakuwa na shida



tatizo la computer hizo mara nyingi huwa ni kupata joto kupita kiasi kupelekea kuunguza vital components

i hope i helped, kama si rahisi kuelewa mpelekee fund aliyekaribu na ww
Ukichomeka chaja bila battery inawaka kidogo, halafu inazima.

Kunakuwa na taa inawaka muda woteView attachment 1425820

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3FO erro, inatokea kama mawasiliano kati ya hard disk na computer hayajakamilika

vyanzo vya tatizo

1.hard disk mbovu
2.connection nzima ya disk na computer inaweza kuwa loose
3.pia kwenye boot order hard disk ikiwa imesetiwa mbali sana computer inaweza pia kuleta error hiyo


solution
1. kwanza change boot order hard diak iwe ya kwanza

2.weka hard disk ingine uone

3.hakikisha connection nzima iko vizur na haichez hata kidogo
naomba kujua natatua vp 3FO error


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom