Sweet Sucker
Member
- Jan 7, 2020
- 42
- 49
Nataka Idea, nipate kwakuanzia! Sitafuti fundi, Mtaani mafundi wapo kibao!!Dah kuna mwamba aliwahi nisaidia tatizo kama lako. Issue siwezi kutuma namba yake hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka Idea, nipate kwakuanzia! Sitafuti fundi, Mtaani mafundi wapo kibao!!Dah kuna mwamba aliwahi nisaidia tatizo kama lako. Issue siwezi kutuma namba yake hapa.
Guys
DELL LATITUDE E6420 CORE i5 iko na tatizo la overheating, hasahasa wakat ikiwa pluged in, fan yake inapiga kelele tofaut na awali. Tatizo linaweza kuwa n nn hapa...
Msaada wenu watalaam wa tech..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau, naombeni msaada wa hili tatizo la laptop [emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Sent using Redmi7
Wakuu laptop yangu Hp EliteBook imegoma kuwaka nikibonyeza power button. Lakini nikitoa betri nakurudisha inawaka kidogo halafu inazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
ujue maelezo bado yako nusu, je ukichomeka chaja bila battery inawaka???
tunachojaribu kufanya hapa ni ku narrow down tatizo maana computer inaweza toa dalili moja kwa matatizo zaid ya ma5 na kujua tatizo exactly lazima uulize maswali na kisha upime pcb components baada ya kunarrow tatizo kutokana na maelezo yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukichomeka chaja bila battery inawaka kidogo, halafu inazima.
Kunakuwa na taa inawaka muda woteView attachment 1425820
Sent using Jamii Forums mobile app
Pc yangu mwanzo ilikuwa inacheza vzr GTA 5 ila kwa sasa inagona na sijabadili Window, shida yaweza kuwa nn
Ukichomeka chaja bila battery inawaka kidogo, halafu inazima.
Kunakuwa na taa inawaka muda woteView attachment 1425820
Sent using Jamii Forums mobile app
Fany update ya software zote
K,K