Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kununua motherboard mpya bora ununue PC mpyaMotherboard View attachment 2123749
Pole Mkuu Naomba Kujua hiyo Taa Inayowaka Ni Ipi Na Inawakaje? Rangi Na Blink Ngapi Kama ni Continous Blinking Pia semaHabari, pc yangu nilikua natumia vizuri ikazima ghafla. Na tokea hapo haikuwaka tena wala kuonesha alama yoyote, Nikaipeleka kwa fundi akajaribu kufanya ufundi wake kinaishia kuwaka taa ya power halafu inazima. Akanipa majibu kwamba umeme unaingia tmkutokea kwenye power ila unaishia njiani kwasababu processor imeungua.
Akanijulisha kua kwa aina ya processor ya pc yangu ni haiwezi kubadilishika kwakua imeungwa ndani kwa ndani ni tofauti na processors za pc generation ya chini. Akanishauri ninunue motherboard nyingine. Sasa ningependa kufahamu kutoka kwenu kwa mujibu wa maelezo yake ni sahihi na pia kwa makadirio au uzoefu wenu kuhusu gharama za motherboard na ubora kwa ujumla.
Jina la pc : Dell inspiron 15 ( 5000 series)
Core 5 (7th Generation)
Model no. P66F001View attachment 2123742View attachment 2123743View attachment 2123744View attachment 2123745View attachment 2123746
Sio Kweli Mkuu, Inategemea Na PC.Kununua motherboard mpya bora ununue PC mpya
Taa iyowaka ipo katikati ya kitufe cha kuwasha pc yani ukiwasha pc kuna kitaa kipo kwa juu ya kitufe kikiwaka kile kinaashiria pc inawaka ila kinakaa kama sekunde 10 halafu kinazima.Pole Mkuu Naomba Kujua hiyo Taa Inayowaka Ni Ipi Na Inawakaje? Rangi Na Blink Ngapi Kama ni Continous Blinking Pia sema
Kuna shida Kubwa Sana ya Hizo PC Kufa Bios Na Solution Yake Ndogo Sana Kuflash bios Bin Tu Kwa Eeprom Tatizo Mafund Weng Hawatak Kununua Vifaa So Conlusion Motjerboard Imekufa.
Kama Hutojal Kabla Haujaagiza Motherboard Tuwasiliane Nikushauri.
Pole Sana, Sijajua Ulipo Ila Kama Utapata Access Ya Kuifikisha Motherboard Mtwara Tutaifufua Na Kukutumia Ukaendeleza Kazi Zako.Taa iyowaka ipo katikati ya kitufe cha kuwasha pc yani ukiwasha pc kuna kitaa kipo kwa juu ya kitufe kikiwaka kile kinaashiria pc inawaka ila kinakaa kama sekunde 10 halafu kinazima.
Kwa maelezo ya fundi abadai ile inaashiria umeme unapita ila ukifika kwenye processor hausambai kwa sababu processor imekufa kwakweli bado sijaridhishwa na majibu yake.
Mara Nying Inakuwa Freezing GPU Au Bios! Peleka Kwa Fundi.Wakuu PC yangu toshiba inazngua, inawaka ila inatoa mwanga tu na haidisplay kitu chochote..alaf inakuwa inanguruma kwa ndan kama vile kuna kitu ina update but hata uiwashe siku nzima haidisplay chochote.. ina window 7, Je kuna namna ya kuifanya idisplay chochote?
Asante mkuu, hamna namna nyingne ya kuweza kuiwasha? maana nipo mbali na mafundi?Mara Nying Inakuwa Freezing GPU Au Bios! Peleka Kwa Fundi.
Piga Picha Taa Zinazowaka Ukiwasha PC Tuma Hapa Nitakuelekeza Ila Inatakiwa Uwe Mjanja.Asante mkuu, hamna namna nyingne ya kuweza kuiwasha? maana nipo mbali na mafundi?
display yake ndo inawaka na kuzima japo haisplay maandishi yoyote zaid ya mwangaPiga Picha Taa Zinazowaka Ukiwasha PC Tuma Hapa Nitakuelekeza Ila Inatakiwa Uwe Mjanja.
inaonesha namna hiiPiga Picha Taa Zinazowaka Ukiwasha PC Tuma Hapa Nitakuelekeza Ila Inatakiwa Uwe Mjanja.
Sawa kaka ngoja nijaribu kwa mara nyingine ikishindikana nitakucheki tuone tunafanyaje.Pole Sana, Sijajua Ulipo Ila Kama Utapata Access Ya Kuifikisha Motherboard Mtwara Tutaifufua Na Kukutumia Ukaendeleza Kazi Zako.
Karibu SanaSawa kaka ngoja nijaribu kwa mara nyingine ikishindikana nitakucheki tuone tunafanyaje.
Ni kweli kabisa halafu umakini uwe wa hali ya juu maana zinaweza zisiendane na Ile orijino. Vipi hapo Kuna athari kubwa?Sio Kweli Mkuu, Inategemea Na PC.
fanya vifuatavyo,Msaada wapendwa ..playstore ina stuck na "pending..." Siwezi download Wala update app yoyote
Nenda kwenye apps kisha futa caches za Playstore
kama Simu imejaa futa baaadhi ya vitu
unistall paystore updates
Barikiwa mwayafanya vifuatavyo,
Njia ya mwisho Restore Simu yako, kama hizo zote zikigoma mkuu.
Mkuu hii motherboard CPU yake ipo built in, na ukisema uitengeneze Motherboard inaweza ikafaa lakini ujue maisha yake ayatokuwa makubwa, na mafundi wengi uwa tunapenda kumfanyia wepesi mteja kusudi wote twende sawa, Ushauri tu kama inawezekana bora uagize motherboard mpya ila nafikiri huyo fundi aliokwambia uagize ndio akuagizie au ushauri mwingine bora ununue PC mpya.Motherboard View attachment 2123749
Kweli kaka upo sahihi ngoja nijaribu kuoanisha gharama za kuagiza motherboard na kununua pc nyingine maana kwa ushauri niliopewa ni kwamba hakuna namna nyingine.Mkuu hii motherboard CPU yake ipo built in, na ukisema uitengeneze Motherboard inaweza ikafaa lakini ujue maisha yake ayatokuwa makubwa, na mafundi wengi uwa tunapenda kumfanyia wepesi mteja kusudi wote twende sawa, Ushauri tu kama inawezekana bora uagize motherboard mpya ila nafikiri huyo fundi aliokwambia uagize ndio akuagizie au ushauri mwingine bora ununue PC mpya.