Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Motherboard
images%20(7).jpg
 
Habari, pc yangu nilikua natumia vizuri ikazima ghafla. Na tokea hapo haikuwaka tena wala kuonesha alama yoyote, Nikaipeleka kwa fundi akajaribu kufanya ufundi wake kinaishia kuwaka taa ya power halafu inazima. Akanipa majibu kwamba umeme unaingia tmkutokea kwenye power ila unaishia njiani kwasababu processor imeungua.

Akanijulisha kua kwa aina ya processor ya pc yangu ni haiwezi kubadilishika kwakua imeungwa ndani kwa ndani ni tofauti na processors za pc generation ya chini. Akanishauri ninunue motherboard nyingine. Sasa ningependa kufahamu kutoka kwenu kwa mujibu wa maelezo yake ni sahihi na pia kwa makadirio au uzoefu wenu kuhusu gharama za motherboard na ubora kwa ujumla.

Jina la pc : Dell inspiron 15 ( 5000 series)
Core 5 (7th Generation)
Model no. P66F001View attachment 2123742View attachment 2123743View attachment 2123744View attachment 2123745View attachment 2123746
Pole Mkuu Naomba Kujua hiyo Taa Inayowaka Ni Ipi Na Inawakaje? Rangi Na Blink Ngapi Kama ni Continous Blinking Pia sema

Kuna shida Kubwa Sana ya Hizo PC Kufa Bios Na Solution Yake Ndogo Sana Kuflash bios Bin Tu Kwa Eeprom Tatizo Mafund Weng Hawatak Kununua Vifaa So Conlusion Motjerboard Imekufa.

Kama Hutojal Kabla Haujaagiza Motherboard Tuwasiliane Nikushauri.
 
Wakuu PC yangu toshiba inazngua, inawaka ila inatoa mwanga tu na haidisplay kitu chochote..alaf inakuwa inanguruma kwa ndan kama vile kuna kitu ina update but hata uiwashe siku nzima haidisplay chochote.. ina window 7, Je kuna namna ya kuifanya idisplay chochote?
 
Taa iyowaka ipo katikati ya kitufe cha kuwasha pc yani ukiwasha pc kuna kitaa kipo kwa juu ya kitufe kikiwaka kile kinaashiria pc inawaka ila kinakaa kama sekunde 10 halafu kinazima.
Kwa maelezo ya fundi abadai ile inaashiria umeme unapita ila ukifika kwenye processor hausambai kwa sababu processor imekufa kwakweli bado sijaridhishwa na majibu yake.
Note: taa hai blink bali inawaka kwa muendeleo pekee halafu inazima ila inapowaka haioneshi kiashiria chochote kwamba feni inaunguruma au pc inapata moto.
 
Taa iyowaka ipo katikati ya kitufe cha kuwasha pc yani ukiwasha pc kuna kitaa kipo kwa juu ya kitufe kikiwaka kile kinaashiria pc inawaka ila kinakaa kama sekunde 10 halafu kinazima.
Kwa maelezo ya fundi abadai ile inaashiria umeme unapita ila ukifika kwenye processor hausambai kwa sababu processor imekufa kwakweli bado sijaridhishwa na majibu yake.
Pole Sana, Sijajua Ulipo Ila Kama Utapata Access Ya Kuifikisha Motherboard Mtwara Tutaifufua Na Kukutumia Ukaendeleza Kazi Zako.
 
Wakuu PC yangu toshiba inazngua, inawaka ila inatoa mwanga tu na haidisplay kitu chochote..alaf inakuwa inanguruma kwa ndan kama vile kuna kitu ina update but hata uiwashe siku nzima haidisplay chochote.. ina window 7, Je kuna namna ya kuifanya idisplay chochote?
Mara Nying Inakuwa Freezing GPU Au Bios! Peleka Kwa Fundi.
 
Msaada wapendwa ..playstore ina stuck na "pending..." Siwezi download Wala update app yoyote
 
fanya vifuatavyo,
Nenda kwenye apps kisha futa caches za Playstore
kama Simu imejaa futa baaadhi ya vitu
unistall paystore updates

Njia ya mwisho Restore Simu yako, kama hizo zote zikigoma mkuu.
 
Mkuu hii motherboard CPU yake ipo built in, na ukisema uitengeneze Motherboard inaweza ikafaa lakini ujue maisha yake ayatokuwa makubwa, na mafundi wengi uwa tunapenda kumfanyia wepesi mteja kusudi wote twende sawa, Ushauri tu kama inawezekana bora uagize motherboard mpya ila nafikiri huyo fundi aliokwambia uagize ndio akuagizie au ushauri mwingine bora ununue PC mpya.
 
Kweli kaka upo sahihi ngoja nijaribu kuoanisha gharama za kuagiza motherboard na kununua pc nyingine maana kwa ushauri niliopewa ni kwamba hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom