men are always guilty until proven innocent.
ni kweli mamy sio vizuri kumcontrol na kummanage mwanaume,kwanza utakufa siku si zako.jamaa hawachungiki hawa.mshukuru mungu kwa kukupamoyo huo.wanandoa wengi wanagombana kwa sababu ya assumption tu sometimes.haina maana kugombana ndani kwa sababuya kitu ambacho hakipo.sometimes kipo ushahidi hamna yaani full vurugu.Soulmate, unataka kunambia kutokuwa na wivu ni sawa? japo kidogo? how would you feel kupendwa na mtu asokuwa na wivu nawe? yaani uende, usiende, urudi usirudi ye kwake ni sawa tu?? is this normal??
Nina kitu ambacho nahisi ni artificial sana ingawa najaribu kukiona cha kawaida.............. nafikiri kama mtakumbuka kuna siku nilishawahi kuulizia juu ya kutoa too much uhuru kwa spouse! yeh mimi I used to do that kuwa nenda uendako, fanya ufanyalo as long as wewe ni mtu mzima na unajua ukifanyacho sina tatizo but after a while nilikujagundua kuwa wanawake wenzangu wenye maisha mepesi ya mahusiano hawatoi hiyo chance, lazima wanamoderate huo uhuru wanaotoa na wengine hawatoi kabisa.
I think I need to go back and learn the basics.
ni kweli mamy sio vizuri kumcontrol na kummanage mwanaume,kwanza utakufa siku si zako.jamaa hawachungiki hawa.mshukuru mungu kwa kukupamoyo huo.wanandoa wengi wanagombana kwa sababu ya assumption tu sometimes.haina maana kugombana ndani kwa sababuya kitu ambacho hakipo.sometimes kipo ushahidi hamna yaani full vurugu.
So mimi naona una kitu special ndani yako.kuwa na moyowenye amani na ulio huru ni jambo kubwasana kwa dunia hii ya sasa.
Naomba mumeo nimtoe out jioni ya leo
Hii thread mbona inogile??! maana hata uchangiaji wake umeenda shule, you can just tell kutokana na flow za wachangiaji.
Naomba kuuliza nikiolewa naweza kuwa nyumba kubwa halafu nyumba ndogo? ili nisikilizie issue kote kote na kukomaa ipasavyo? maana nimedata kidogo hapa
Mbona naogopa hata kuolewa sasa!! Mweeeeh
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.
ni kweli mamy sio vizuri kumcontrol na kummanage mwanaume,kwanza utakufa siku si zako.jamaa hawachungiki hawa.mshukuru mungu kwa kukupamoyo huo.wanandoa wengi wanagombana kwa sababu ya assumption tu sometimes.haina maana kugombana ndani kwa sababuya kitu ambacho hakipo.sometimes kipo ushahidi hamna yaani full vurugu.
So mimi naona una kitu special ndani yako.kuwa na moyowenye amani na ulio huru ni jambo kubwasana kwa dunia hii ya sasa.
Naomba mumeo nimtoe out jioni ya leo
Kweli wanaume ni ngumu sana kuwajulia wewe ukiwa nae jitahidi kujiamini tumia iyo oppornunitykumuonyesha wewe ni mwanamke bora kulikowote humu duniani,kumbuka upo kwenye competition.He he..Smile mbona unata kuchukulia advantage moyo wa Mwanajamii1??
Pia asante kwa kunifafanulia lile swali langu hapo nyuma. Haya mambo magumu lakini..! Anyway, mimi kuanzia hata hapo nilivyo kwenye mahusiano naamini sipo mwenyewe na hii inanifanya nitulize akili kwahiyo hata kwenye ndoa sidhani nitakuwa mwenyewe maana wanaume wenyewe wale wale.
Kuna mtu kachangia mwanzo kuwa inahitaji kumjulia mwanaume uweze kuishi nae!!
Mbona sikuelewi? Kwani hayupo kwenye maisha yako? SikuelewiHapa naona unataka kumkimbiza soulmate wangu bana, yeye hana uzoefu huko wala experience mi ndo nyumba yake ndogo na kubwa na ya kati lol
Hahahaha Smile, ningelikuwa naye bado mbona ningekupa tu mpenzi?! maana kwa vile vyake vituko ilifikia wakati nikawa ninapiga goti kumwombea apate nyumba ndogo aisee! mbona ningekupa kwa moyo mweupe tena ningekuomba ukae naye japo wiki! hahahahahaha
Soulmate, unataka kunambia kutokuwa na wivu ni sawa? japo kidogo? how would you feel kupendwa na mtu asokuwa na wivu nawe? yaani uende, usiende, urudi usirudi ye kwake ni sawa tu?? is this normal??
Nina kitu ambacho nahisi ni artificial sana ingawa najaribu kukiona cha kawaida.............. nafikiri kama mtakumbuka kuna siku nilishawahi kuulizia juu ya kutoa too much uhuru kwa spouse! yeh mimi I used to do that kuwa nenda uendako, fanya ufanyalo as long as wewe ni mtu mzima na unajua ukifanyacho sina tatizo but after a while nilikujagundua kuwa wanawake wenzangu wenye maisha mepesi ya mahusiano hawatoi hiyo chance, lazima wanamoderate huo uhuru wanaotoa na wengine hawatoi kabisa.
I think I need to go back and learn the basics.
Mbona sikuelewi? Kwani hayupo kwenye maisha yako? Sikuelewi
MJ1 mpe Smile ule 'msukule'...lol
...kama unapenda na unaniamini, wivu wa nini?
Kupenda bila kuniamini ni "gonjwa sugu" kuliko UKIMWI.
Ahahaaa bee kweli umenichoka mie ndo wa kupewa msukulesio? Aya bwana ngoja nilog offMJ1 mpe Smile ule 'msukule'...lol
Ahahaaa bee kweli umenichoka mie ndo wa kupewa msukulesio? Aya bwana ngoja nilog off
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.
babu mimi sikubaliani hata kidogo na swala la nyumba dogo.in real world mimi niko real sana huwa sipendi mambo ya kuact.kwanini uishi kwa kuigiza? Swala la mwanaume kuwa na nyumba ndogo mi huwa naoana nikujidaganya na kujitesa bure. Kama unabisha uliza mwanaume yeyote ambaealishawai kuwa na nyumba ndogo wakaishihadi mwisho kwa usalama.
Wanaume huwa mnajiona wajanja l mnatuona wanawakwe hatuna akili lakinikumbukeni ya adamu na eva. Machunwa weeeeee,napewa na mingoma aka ukimwi.hamana chochote mnachofaidi humo.bora kama mke mmoja akutoshi oa mwingine
I agree with you 100%. Nyumba ndogo ni kujitesa tu kusiko na sababu. Hazina tija wala hazileti furaha ya moyo. I dont want nyumba ndogo. Kubwa niliyonayo inaniumiza kichwa.
MJ1, umepata penzi jipya dear?:tongue:
MJ1, umepata penzi jipya dear?:tongue: