Tatizo na Nyumba Ndogo...

Tatizo na Nyumba Ndogo...

Soulmate, unataka kunambia kutokuwa na wivu ni sawa? japo kidogo? how would you feel kupendwa na mtu asokuwa na wivu nawe? yaani uende, usiende, urudi usirudi ye kwake ni sawa tu?? is this normal??

Nina kitu ambacho nahisi ni artificial sana ingawa najaribu kukiona cha kawaida.............. nafikiri kama mtakumbuka kuna siku nilishawahi kuulizia juu ya kutoa too much uhuru kwa spouse! yeh mimi I used to do that kuwa nenda uendako, fanya ufanyalo as long as wewe ni mtu mzima na unajua ukifanyacho sina tatizo but after a while nilikujagundua kuwa wanawake wenzangu wenye maisha mepesi ya mahusiano hawatoi hiyo chance, lazima wanamoderate huo uhuru wanaotoa na wengine hawatoi kabisa.

I think I need to go back and learn the basics.
ni kweli mamy sio vizuri kumcontrol na kummanage mwanaume,kwanza utakufa siku si zako.jamaa hawachungiki hawa.mshukuru mungu kwa kukupamoyo huo.wanandoa wengi wanagombana kwa sababu ya assumption tu sometimes.haina maana kugombana ndani kwa sababuya kitu ambacho hakipo.sometimes kipo ushahidi hamna yaani full vurugu.
So mimi naona una kitu special ndani yako.kuwa na moyowenye amani na ulio huru ni jambo kubwasana kwa dunia hii ya sasa.
Naomba mumeo nimtoe out jioni ya leo
 
He he..Smile mbona unata kuchukulia advantage moyo wa Mwanajamii1??

Pia asante kwa kunifafanulia lile swali langu hapo nyuma. Haya mambo magumu lakini..! Anyway, mimi kuanzia hata hapo nilivyo kwenye mahusiano naamini sipo mwenyewe na hii inanifanya nitulize akili kwahiyo hata kwenye ndoa sidhani nitakuwa mwenyewe maana wanaume wenyewe wale wale.

Kuna mtu kachangia mwanzo kuwa inahitaji kumjulia mwanaume uweze kuishi nae!!
 
Hii thread mbona inogile??! maana hata uchangiaji wake umeenda shule, you can just tell kutokana na flow za wachangiaji.

Naomba kuuliza nikiolewa naweza kuwa nyumba kubwa halafu nyumba ndogo? ili nisikilizie issue kote kote na kukomaa ipasavyo? maana nimedata kidogo hapa

Mbona naogopa hata kuolewa sasa!! Mweeeeh

Belinda kwanza tambua uwezo wa kuijenga au kuibomoa ndoa/mahusiano mara nyingi kama si zote upo kwako na mwenzi wako....you two can be whatever you want to

Sasa kisa cha kuogopa kuolewa ni nini? Nyumba ndogo?
Mie naamini hivi mafanikio ya ndoa A haywezi kuwa mafanikio ya ndoa/mahusiano yango...
Failures za ndoa B haziwezi kuwa za ndoa yangu...
mahusiano yangu/ndoa yangu na mwenza wangu ni yetu sisi na itatu,suit sisi, sasa habari za kuishi kwa kuangalia fulani na fulani hivi kwa hiyo na mimi na msukuma itakuwa hivi, hapana.
Simaanishi kuwa sijifunzi kutokana na observation za namba hiyo...Naah! Ila hayo hayawezi kusimamia mahusiano/ndoa yangu.
 
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.

Hapa naona unataka kumkimbiza soulmate wangu bana, yeye hana uzoefu huko wala experience mi ndo nyumba yake ndogo na kubwa na ya kati lol
ni kweli mamy sio vizuri kumcontrol na kummanage mwanaume,kwanza utakufa siku si zako.jamaa hawachungiki hawa.mshukuru mungu kwa kukupamoyo huo.wanandoa wengi wanagombana kwa sababu ya assumption tu sometimes.haina maana kugombana ndani kwa sababuya kitu ambacho hakipo.sometimes kipo ushahidi hamna yaani full vurugu.
So mimi naona una kitu special ndani yako.kuwa na moyowenye amani na ulio huru ni jambo kubwasana kwa dunia hii ya sasa.
Naomba mumeo nimtoe out jioni ya leo

Hahahaha Smile, ningelikuwa naye bado mbona ningekupa tu mpenzi?! maana kwa vile vyake vituko ilifikia wakati nikawa ninapiga goti kumwombea apate nyumba ndogo aisee! mbona ningekupa kwa moyo mweupe tena ningekuomba ukae naye japo wiki! hahahahahaha
 
He he..Smile mbona unata kuchukulia advantage moyo wa Mwanajamii1??

Pia asante kwa kunifafanulia lile swali langu hapo nyuma. Haya mambo magumu lakini..! Anyway, mimi kuanzia hata hapo nilivyo kwenye mahusiano naamini sipo mwenyewe na hii inanifanya nitulize akili kwahiyo hata kwenye ndoa sidhani nitakuwa mwenyewe maana wanaume wenyewe wale wale.

Kuna mtu kachangia mwanzo kuwa inahitaji kumjulia mwanaume uweze kuishi nae!!
Kweli wanaume ni ngumu sana kuwajulia wewe ukiwa nae jitahidi kujiamini tumia iyo oppornunitykumuonyesha wewe ni mwanamke bora kulikowote humu duniani,kumbuka upo kwenye competition.
Mimi mpenzi wangu sijui kama nipo mwenyewe lakini as longamenipa usukani huwa siitumii hiyo nafasi vibaya sifanyi mistake,hata kama nikimpoteza nisijejilaumu.
Who knows naweza kuwa the lucky girl kwa
 
Hapa naona unataka kumkimbiza soulmate wangu bana, yeye hana uzoefu huko wala experience mi ndo nyumba yake ndogo na kubwa na ya kati lol

Hahahaha Smile, ningelikuwa naye bado mbona ningekupa tu mpenzi?! maana kwa vile vyake vituko ilifikia wakati nikawa ninapiga goti kumwombea apate nyumba ndogo aisee! mbona ningekupa kwa moyo mweupe tena ningekuomba ukae naye japo wiki! hahahahahaha
Mbona sikuelewi? Kwani hayupo kwenye maisha yako? Sikuelewi
 
Soulmate, unataka kunambia kutokuwa na wivu ni sawa? japo kidogo? how would you feel kupendwa na mtu asokuwa na wivu nawe? yaani uende, usiende, urudi usirudi ye kwake ni sawa tu?? is this normal??

Nina kitu ambacho nahisi ni artificial sana ingawa najaribu kukiona cha kawaida.............. nafikiri kama mtakumbuka kuna siku nilishawahi kuulizia juu ya kutoa too much uhuru kwa spouse! yeh mimi I used to do that kuwa nenda uendako, fanya ufanyalo as long as wewe ni mtu mzima na unajua ukifanyacho sina tatizo but after a while nilikujagundua kuwa wanawake wenzangu wenye maisha mepesi ya mahusiano hawatoi hiyo chance, lazima wanamoderate huo uhuru wanaotoa na wengine hawatoi kabisa.

I think I need to go back and learn the basics.

...kama unapenda na unaniamini, wivu wa nini?
Kupenda bila kuniamini ni "gonjwa sugu" kuliko UKIMWI.
 
...kama unapenda na unaniamini, wivu wa nini?
Kupenda bila kuniamini ni "gonjwa sugu" kuliko UKIMWI.

At least naanza kuamini kuwa niko normal.................. thanx swirry
 
Ahahaaa bee kweli umenichoka mie ndo wa kupewa msukulesio? Aya bwana ngoja nilog off

Hahhaaa huwezijua Smile mnaweza ku click na msukule...lol
 
mbu ebu tupe ushuhuda wako kuhusu nyumba ndogo.

...hasara tupu. Sijasikia mwenye nyumba ndogo isiyoishia na 'msiba!'
Na hii haijalishi nyumba ndogo ni mw'mke anayelelewa na suga-dadi,
au mw'ume anayefadhiliwa na cougar...

Nyumba ndogo ni xtra-effort, shida ya kujibebesha kabati la matatizo...
ushuhuda ni mrefu, nikiendelea nitakuwa siutendei haki unyuzi huu wa mwj1,
kuhusiana na masuala ya wivu.

:focus:
 
babu mimi sikubaliani hata kidogo na swala la nyumba dogo.in real world mimi niko real sana huwa sipendi mambo ya kuact.kwanini uishi kwa kuigiza? Swala la mwanaume kuwa na nyumba ndogo mi huwa naoana nikujidaganya na kujitesa bure. Kama unabisha uliza mwanaume yeyote ambaealishawai kuwa na nyumba ndogo wakaishihadi mwisho kwa usalama.
Wanaume huwa mnajiona wajanja l mnatuona wanawakwe hatuna akili lakinikumbukeni ya adamu na eva. Machunwa weeeeee,napewa na mingoma aka ukimwi.hamana chochote mnachofaidi humo.bora kama mke mmoja akutoshi oa mwingine

Kweli mamii hapa tuko pamoja na kama alivyosema Kaunga wengi wetu tunalitreat hili kama halipo wakati lipo. Nyumba ndogo hazikubaliki ingawaje zipo. Ukweli huu wengi wetu tunaukwepa na kubakia kuishi maisha ya kutegeana kwa kuvizia uone mabadiliko ya tabia ya mwenzi wako ndo uanza kuhamaki. Yaani wengi tunasubiri mwenzi keshaonjeshwa asali anataka kuchonga mzinga ndo tunakuja na slogani zetu za oh asali ni chungu, ni sumu wakati mwenzio alishajua ladha yake. Matokeo yake inakuwa too late.
 
I agree with you 100%. Nyumba ndogo ni kujitesa tu kusiko na sababu. Hazina tija wala hazileti furaha ya moyo. I dont want nyumba ndogo. Kubwa niliyonayo inaniumiza kichwa.

Tangawizi,

Ndo maana immediately unahitaji kuwa na nyumba ndogo maana kubwa imekuwa 'kubwa' kweli inakushinda kumanage... usivae kiatu kinakubana muda wote hadi miguu itoke malenge lenge...tafutapo na makubaz ya saizi yako....
 
MJ1....naomba nirudie tena kwamba 'umekua'

Msikilize sana FP na Chauro.....wanaonekana kuwa na uzoefu....

Hapa hii habari ya 'kujifanya mbuni' ipo kote kote...
 
MJ1, umepata penzi jipya dear?:tongue:

Kaizer!! unaishi dunia ya wapi jamani? Yaani hata hujui kuwa Mbu ni shemeji yako? Hebu mtambue rasmi aisee. wewe ndo utankabidhi ujue!

:focus: Hii thread inahusu wivu kwa nyumba ndogo lol
 
Back
Top Bottom