Tatizo na sababu ya yote haya ni uchaguzi na nafasi za uongozi wa kisiasa tu hakuna kingine

Tatizo na sababu ya yote haya ni uchaguzi na nafasi za uongozi wa kisiasa tu hakuna kingine

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini.

Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya uchaguzi vyamani, serikali za mitaa au ule uchaguzi mkuu..

Mungu asinamie vyema sehemu ya uchaguzi iliyobaki, imalizike kwa salama na amani. Dar es Salaam ipumue na Tanzania ibaki na Amani..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom