Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

Anyway,labda tuwape muda.
Huna takwimu,unachukua maneno ya kuambiwa mtaani unafungulia thread
Halafu mlishazoea kuona foleni benki,siku hizi mpaka pesa unaivuta kwenye simu kwenda tawini ni wafanya biashara wakubwa ambao eneo hilo ni wengi
 
Mwinyi kwao wapi umesema??
 
Huna takwimu,unachukua maneno ya kuambiwa mtaani unafungulia thread
Halafu mlishazoea kuona foleni benki,siku hizi mpaka pesa unaivuta kwenye simu kwenda tawini ni wafanya biashara wakubwa ambao eneo hilo ni wengi
Kwa maneno ya mitandaoni hata maandamano yametiingisha serikali.
 
Malaika si alifanya upembuzi kabla ya kujenga hpo,mana hpo hela zimejaa kuliko mwanza ndio mpka wakafungua bank
 
Maamdalizi ya kuifanya Chato kuwa jiji [emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490][emoji1490]
 
Unakuzwa na nini?

Kiwango cha uelewa wa punda kutumia traffic lights imeongezeka. Pia hata idadi ya punda wanaokatiza barabarani nasikia nayo imeongezeka.

Mkuu nadhani hii yaonyesha kijiji kinakua kwa haraka ukiunganisha na utafiti wa malaika yule utagundua kuna ukweli.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Takwimu mkuu..lete hata za kupika
watoto mji Mkuu wa tanzania ni upi?
Chato... umekosa jaribu tena....
Dar Es Salaam ... umekosa... jaribu tena...
Chato... unanitania! samahani mwalimu ni DDM... haya umepata
 
muda si mrefu makada watasombwa kwa mabasi kutoka miji mbalimbali ili wakapate huduma huko porini..
kama walivyosomba watu juzi wakashuhudie pombe anavyofungua mradi wa hela za mikopo na unyang'anyi.
 
Chato oyee.

Inamaana mtafiti mpya wa maswala ya kibenk jpm hakuona hilo la wateja wachache?
 
Hakuna sehemu inayoonesha watu kupinga,issue ni kuwa watu hawana pesa ya kuweka benki.
Lengo la Uzi ni kuonesha kuwa wakazi wa Chato,vyuma vimebana!!
Nakushauri kawape watu pesa ili foleni iwe kubwa hapo CRDB.
 
Kama huna hela ni wewe..usilazimishe watu wote wafanane na hali yako..inawezekana wakati we ulijiona una pesa kuna wengine hawakuwa nazo.. Na sasa wanazo au wako vile vile sababu mifumo yao ya upatikanaji pesa ni ule ule wa halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…