Tax Management Officer II vs Custom Officer II

Ila TMO ina maslahi mazuri kuliko CO ijapokuwa mshahara inalingana
 
Boss wangu humu ndani wapo hadi watu wa idara husika kuanzia wakubwa mpk ngaz za chini kwahiyo kufunguka kila jambo n hatari kwa afya yako tafadhali ila TMO kama ulivyo ambiwa ipo vzr
 
Sawa boss kubwa umesomeka
 
Tax management n nyepesi sana ht kazini . Custom km mtu anataka kula kijanja janja sana custom inamhusu ila ina risk sana
TM inakuaje Ni nyepesi wkt Ina mambo mengi/complicated kulinganisha na custom ambacho Ni kitopic tu kwny TM.
 
Tax iko poa mno
Customs unaeza kupangwa kituo cha porini huko.
Au vilevile customs unaweza kupangwa kituo cha mkoa kama Dodoma au singida, hakuna kazi wala.utaishia kuishi kwa salary tu
 
Kwema wakuu?

Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii

1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi?
4. Ipi yenye changamoto nyingi?
Custom mitihani yake sio migumu....ni ishu tu za imports na exports
 
Faida za Tax Management Officer

1. Nafasi ni nyingi

2. Kwenye maslahi Tax Management Officer wako vizuri

3. Ukiajiliwa kwa cheo cha Tax Management Officer/or Assistant unafanya kazi idara nyingi za TRA na sehemu nyingi (kama Makao Makuu, Ofisi za Mikoa, Ofisi za Wilaya, Ofisi Maalumu; na ofisi zote hizi ziko mijini) tofauti na ukiajiliwa kwa cheo cha Custom Officer/or Assistant ambapo kituo cha kazi ni mipakani na mashambani huko (kama Sirari, Mtukula, Rusumo, Kabanga, nakadhalika)

4. Mwisho ukisikia watumishi wa TRA wanasumbua town (Kariakoo au hata kwenye bata batani) jua ni Tax Management Officers/or Assistants
 
Kwenye rushwa nyingi Ni Forodha (Customs) hicho kitengo ndiyo kinaongoza kwa Rushwa na Kinaongoza kwa Mapato Mengi, kasome Ripoti ya Tume ya Warioba ya Corruption and State.
 
Bila ya kumsahau Tiagi Masamaki alikuwa Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa TRA, jamaa alikuwa na nyumba 70 nasikia
 
Back
Top Bottom