Tax Management Officer II vs Custom Officer II

Tax Management Officer II vs Custom Officer II

Mwambie issue ya majina kwenye kitambulisho kutofautiana na vyeti aimalize kabla ya kwenda kwenye usaili. Utumishi hawacheki na kima watamtoa nduki bila kupepesa macho.
Duuuh kweli hebu nimpange.. kwahyo barua ya Serikali wa mtaa nasikia zinakubalika kama ni utambulisho wako..?
 
Screenshot_2022-04-07-17-13-03-24.jpg
 
Kwema wakuu?

Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii

1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi?
4. Ipi yenye changamoto nyingi?
Customs rahisi sanaaa...maana Ni Kama law hivi ukisoma umesoma Yan ukikaza two weeks huwez kosa 50 maana content zake Ni chache but TMO ina notes nyingi sanaa na vitu vingi sanaaa ingawa vinaeleweka...ila ukiwa mvivu kusoma customs inakufaaa sanaa

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
 
Sio Kama Law Customs Ni Sheria, hata TAX MGT Ni SHERIA unasimamia
 
  • unasomaga magazeti lakini? Au story za kuambiwa?
  • kaangalie hata kesi zilizo mahakamani za Rushwa/ kumiliki Mali zilizozidi kipato kwa staff wa TRA, utakuta Watuhumiwa wengi Ni wa Customs,
-
Wanafanya masikhara na customs hahaha, waache tu
 
Wadau nimeomba post mbili badala ya moja kama walivyoelekeza vipi kuna namna ya kufuta application ambayo tayari ushafanya
 
Wadau nimeomba post mbili badala ya moja kama walivyoelekeza vipi kuna namna ya kufuta application ambayo tayari ushafanya
Yaani hapo ume rahisisha kazi yao yakushortlist, tafuta namna yakufuta moja. Psrs wapo serious sana, maelekezo ni muhimu kuzingatia.
 
hivi haiwezekani kwa kila mkoa kufanya interview sehemu husika ya mkoa kama ilivyo mitihani ya kitaifa?
 
Nimescan vyeti vyangu lakini vingi vimevuka mb 2.0, nipeni maujanja
Ingia google andika resize kama hiyo document ipo katika fomat ya pdf au jpg andika resize pdf online au resize photo kisha chagua link yoyote upload ilo doc
 
Back
Top Bottom