wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Nyumba zenyewe uliziona Zilivyo lkn?Bila ya kumsahau Tiagi Masamaki alikuwa Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa TRA, jamaa alikuwa na nyumba 70 nasikia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😄😄 Nyumba zenyewe uliziona Zilivyo lkn?Bila ya kumsahau Tiagi Masamaki alikuwa Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa TRA, jamaa alikuwa na nyumba 70 nasikia
Lete tuzione😄😄 Nyumba zenyewe uliziona Zilivyo lkn?
Bonyeza*102# utaziona.Lete tuzione
We ng'ang'ania tuu Customs, ila habari ya mjini (cheo kinachol_p_) TRA ni Tax Management Officer zamani kidogo kilijulikana kama Tax OfficerKwenye rushwa nyingi Ni Forodha (Customs) hicho kitengo ndiyo kinaongoza kwa Rushwa na Kinaongoza kwa Mapato Mengi, kasome Ripoti ya Tume ya Warioba ya Corruption and State.
We ng'ang'ania tuu Customs, ila habari ya mjini (cheo kinachol_p_) TRA ni Tax Management Officer zamani kidogo kilijulikana kama Tax Officer
Kuthibitisha hilo ni lundo la watumishi wa TRA walioajiliwa kwa vyeo vingine kukimbilia Tax Management Officer through recategorization (kubadilishwa kada)
Yaani mtu aliajiliwa kama Custom Officer, Accountant, Economist (lakini hawa sio sana) anaomba kubadilishwa kada kuwa Tax Management Officer
Sio hizo yaan sheria nyingi mno na hata VAT Act, Excise duty ila Customs unatakiwa ujue hasha EACCMATax Management unatakiwa kujuwa Sheria kuu mbili ambazo ni ITA na Tax Administration Act
Maswali Mengi huwa Ni ITA na Tax Administration Act,Sio hizo yaan sheria nyingi mno na hata VAT Act, Excise duty ila Customs unatakiwa ujue hasha EACMA
Kwanye kazi hizi za Serikali kupitia utumishi Bora uombe yenye nafasi nyingi ili iwe na wigo mpana kwenye competition.. Usijari mambo za mishahara kabisa.. kikubwa mtu aingie Serikalini kwanza apate checkNoFaida za Tax Management Officer
1. Nafasi ni nyingi
2. Kwenye maslahi Tax Management Officer wako vizuri
3. Ukiajiliwa kwa cheo cha Tax Management Officer/or Assistant unafanya kazi idara nyingi za TRA na sehemu nyingi (kama Makao Makuu, Ofisi za Mikoa, Ofisi za Wilaya, Ofisi Maalumu; na ofisi zote hizi ziko mijini) tofauti na ukiajiliwa kwa cheo cha Custom Officer/or Assistant ambapo kituo cha kazi ni mipakani na mashambani huko (kama Sirari, Mtukula, Rusumo, Kabanga, nakadhalika)
4. Mwisho ukisikia watumishi wa TRA wanasumbua town (Kariakoo au hata kwenye bata batani) jua ni Tax Management Officers/or Assistants
Mwambie issue ya majina kwenye kitambulisho kutofautiana na vyeti aimalize kabla ya kwenda kwenye usaili. Utumishi hawacheki na kima watamtoa nduki bila kupepesa macho.Hv kule utumishi siku ya interview Kitambulicho Cha kura Huwa wanaassess picha kama inafanana.. Au wanafananisha majina ya Kitambulicho Cha kura na majina ya kwenye vyeti..
Na kama jina moja la kwenye KITAMBULISHO likikosewa inakuwaje..?
Kuna mshikaji wangu hapa kaitwa Usaili Ila kakutana na hyo changamoto
Mpe poleHv kule utumishi siku ya interview Kitambulicho Cha kura Huwa wanaassess picha kama inafanana.. Au wanafananisha majina ya Kitambulicho Cha kura na majina ya kwenye vyeti..
Na kama jina moja la kwenye KITAMBULISHO likikosewa inakuwaje..?
Kuna mshikaji wangu hapa kaitwa Usaili Ila kakutana na hyo changamoto
Mkuu, naomba tupeane matilio ya tax management officer, tupige msuli mapemaMpe pole
Ndio hazifanani kbsaKwani Huwa mitihani inakuwa tofauti..?
Watu mnatutisha na mmbwembe zenu yaani msuli mapema hata deadline badoMkuu, naomba tupeane matilio ya tax management officer, tupige msuli mapema
Wanakutisha sio?😄😄Watu mnatutisha na mmbwembe zenu yaani msuli mapema hata deadline bado
Naomba ushare nasi uliyoyaona kwenye TMA nduguEmbu Kwanza naomben maswali yalikuaje ktk ule mtiani wajuz mwezi wa tatu kwenye kada ya customs officer. II
Mnk nimeyaona baadh ya TMA ILA C.o cjapata kuona ilikuwaje na waliuliza ktk angle gani
Plz sharing is caring