Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Duuuh kweli hebu nimpange.. kwahyo barua ya Serikali wa mtaa nasikia zinakubalika kama ni utambulisho wako..?Mwambie issue ya majina kwenye kitambulisho kutofautiana na vyeti aimalize kabla ya kwenda kwenye usaili. Utumishi hawacheki na kima watamtoa nduki bila kupepesa macho.
Customs rahisi sanaaa...maana Ni Kama law hivi ukisoma umesoma Yan ukikaza two weeks huwez kosa 50 maana content zake Ni chache but TMO ina notes nyingi sanaa na vitu vingi sanaaa ingawa vinaeleweka...ila ukiwa mvivu kusoma customs inakufaaa sanaaKwema wakuu?
Kuuliza sio ujinga.hivi kati ya Tax management officer ii vs custom officer ii
1. Ipi ina mitihani ya mchujo migumu?
2. Ipi ni nzuri kufanyia kazi.
3. Kuna tofauti yoyote ya kimaslahi?
4. Ipi yenye changamoto nyingi?
Sio Kama Law Customs Ni Sheria, hata TAX MGT Ni SHERIA unasimamiaCustoms rahisi sanaaa...maana Ni Kama law hivi ukisoma umesoma Yan ukikaza two weeks huwez kosa 50 maana content zake Ni chache but TMO ina notes nyingi sanaa na vitu vingi sanaaa ingawa vinaeleweka...ila ukiwa mvivu kusoma customs inakufaaa sanaa
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Wanafanya masikhara na customs hahaha, waache tu-
- unasomaga magazeti lakini? Au story za kuambiwa?
- kaangalie hata kesi zilizo mahakamani za Rushwa/ kumiliki Mali zilizozidi kipato kwa staff wa TRA, utakuta Watuhumiwa wengi Ni wa Customs,
Customs ina chenga nyingi saanaWanafanya masikhara na customs hahaha, waache tu
cha msingi ni kujiandaa tu mapema, mana Utumishi sio poa Paper zao watu wanapoteana mle ndani.Wanafanya masikhara na customs hahaha, waache tu
Yaani hapo ume rahisisha kazi yao yakushortlist, tafuta namna yakufuta moja. Psrs wapo serious sana, maelekezo ni muhimu kuzingatia.Wadau nimeomba post mbili badala ya moja kama walivyoelekeza vipi kuna namna ya kufuta application ambayo tayari ushafanya
HahaahWatu mnatutisha na mmbwembe zenu yaani msuli mapema hata deadline bado
Mkuu ww Ni msomi wa ICT tunatarajia maujanja zaidi kutoka kwako!Nimescan vyeti vyangu lakini vingi vimevuka mb 2.0, nipeni maujanja
Mkuu ww Ni msomi wa ICT tunatarajia maujanja zaidi kutoka kwako!
kuna kuzidiana, huenda wewe umenizidi kimaarifa. ipo idea nimefikiria kuifanya lakini nimeamua nije humu pengine nitapata maarifa zaidi.Mkuu ww Ni msomi wa ICT tunatarajia maujanja zaidi kutoka kwako!
Yes zote Ni sheriaSio Kama Law Customs Ni Sheria, hata TAX MGT Ni SHERIA unasimamia
Ingia google andika resize kama hiyo document ipo katika fomat ya pdf au jpg andika resize pdf online au resize photo kisha chagua link yoyote upload ilo docNimescan vyeti vyangu lakini vingi vimevuka mb 2.0, nipeni maujanja
VAT Act pia haikwepekiTax Management unatakiwa kujuwa Sheria kuu mbili ambazo ni ITA na Tax Administration Act
Kweli,VAT Act pia haikwepeki
Mkuu naomba msaada kwenye notes za calculationsVAT Act pia haikwepeki