Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

Anajua haya mayuvisisiiem hayanaga akili ni sifia sifia tu za watawala ndo maana anajua na wasi wasi! Ndo maana hata alikuwekea Sheria usimguse mapema na ww ukakubali

Brother mwanamke akikupenda anakera kama yupo Rombo we upo dar haoni shida kuja mara Kwa mara, mawasiliano mara Kwa mara
 
Kwa taratibu za ki-Africa, upande wa Patrilineal, mwanaume anaamua aoe lini. Kama kitu hicho utashindwa kuamua mpaka upate ushauri, basi muda wa kuoa haujafika au mwenza wako ni mdogo/mtoto Sana kimawazo (not matured). Kama unatokea matrilineal, subiri maamuzi ya mwenza wako.
 
Mwanamke ndiye huwa anaitaka ndoa sasa wewe imekuaje ndugu? Wewe ndiye unaitaka sana??

Itakuwa kakuweka reserve kuna mwamba mwingine anamskilizia na pussy huwa anampa huku ww ukipambana kumtetea Samia.😂
 
Futa kwanza jina la mama.. Anahis ww ni mwanamke mwenzake, kwa sabbu wote ni mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…