Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

Sitaki
Samia 2025 chali
 
Tatizo wewe ni ccm halafu chawa
 
Kwenye story zenu kuhusu swala la BANDARI msimamo wako ulikuwa nn ?? Maana unaweza Kuta ndio alikupima hapo 🤣🤣🤣. Any way...tafuta mwingine
 
We vumilia tu huku ukiomba Mungu anaemtegemea kumuoa amtose ili bahati ikuangukie.
We back bencha reserve.
Kuwa na subira tu utapangiwa mechi
 
Kwenye story zenu kuhusu swala la BANDARI msimamo wako ulikuwa nn ?? Maana unaweza Kuta ndio alikupima hapo 🤣🤣🤣. Any way...tafuta mwingine
Hana tatizo na msimamo wangu.
 
Maskini weeh sijui nani alikushauri kaka mwanamke akitamani aolewe na mwanaume anaye mpenda mara nyingi yeye ndio huwa anaforci ndoa....itoshe kusema tafuta kada mwenzako uoe huyo fanya mchakato uweke utembee atakusumbua[emoji846][emoji846][emoji846]
Kumbe na wewe ulikuwa kwenye akili yangu pia 💪 MamaSamia2025 do the needful please.
 
Mwanamke anakuendesha huyo, na ukioa usidhan ataacha kukuekea masharit nakushauri mweke awe plan B tafuka mke wa kuoa
 
Mie yangu ni haya.

1. Kuna mtu anaonesha au anamsupport kwa namna yoyote ile kiasi kwamba kua na wewe kwa matangazo ataharibu alipo,
2. Kuna mtu yupo naye kama plan A. Wewe hataki kupoteza kwa sababu ni plan B. Hapa tafuta plan A na wewe ili wote plan A zenu zikifeli na kama kweli Mungu kapanga umuoe huyo, Wote mtajikuta plan B inageuka plan A.
3.Muulize kama yeye ni bikira au laah. Kama sio nani ametoa na kwa nini wewe hataki umguse. Hapa chunguza na familia yao pia, inamaadili kiasi gani, Chunguza frequence za mawasiliano yenu pia. Kama yana limit kwa baadhi ya siku kwamba leo usinipigie, au week hoi usinitafute, achana naye.Najua ni vigumu ila take time. UVCCM mpo busy na kuunadi mkataba.Wewe kakosoe mkataba maana sie hatuupendi. Kuunadi kwako inawezekana kakuona kilaza kakupima akili hapo.
4. Umri wake bado mdogo hajafanya maamuzi hana la kupoteza kwa wewe kuachana naye. Ikiwa hivyo piga chini.
 
Sahihi kabisa kiongozi
 
Huyo wa masharti hayo ndugu angalia tu mwenyewe taratibu ila ningekuwa Mimi ningetafuta mwingine mdogo mdogo ila siweki nia ya ndoa kwanza then nipate multiple choice nichague nani ni yupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…