Tayari nimepata mwanamke wa kuoa ila kuna vitu sijaelewa wakuu. Nishaurini tafadhali

Achana nae bado mtoto huyo atakusumbua kwa haraka haraka haraka kamaliza o level 2019 huyo ni makamo ya mdogo wangu wa 2003 yupo chuo mwaka wa kwnza naye alimaliza mwaka 2019.

Itoshe kusema achana nae na kosa ulilolifanya ni kukubali ombi lake la kitoto la kutokusuguliwa wakati naamini anasuguliwa kwa sababu kama angekuwa asuguluwi trust me asingefeli.

Nyie CCM wajinga sana hadi kwenye Mapenzi
 

Ushauri mwepesi ni tafuta maandiko yangu usome. Kisha uwe kama Mimi. Hakuna mambo ya kitoto na kijinga yatakayokusumbua.
 
Kwanza Pole......... japo umeanza kwa kuji declare mambo ya chama na mmi sipo hko na wala haikuwa na sababu yeyote ....any way ...... mmi naona nikama una panda mbegu kwenye udongo mkavu na kame sana sina hakika kama huo mmea uta stawi na kutoa maua ukayafurahia ..... kwanini usitulize akili uka oata mtu sahihi? Hilo swala la bikra ni geresha tu sina hakika kama ni kweli ..... ukiweka akili sana kwake kuna mambo uta feli just move on niwakati mgumu lakini mbele ni kuzuri zaidi ..........kuna wakati MUNGU anakunyima baadhi ya vitu coz you deserve more ..... zakupewa changanya na zako [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu ukisema mrembo tunataka tuone picha ili tukushauri vizuri,isije ikawa pisi yenyewe mbovu halafu unatusumbua sumbua tu humu.
 
Kitendo cha kuanza kuambiwa usubiri ndoa ndio umchakate ndio hapo cha kwanza hakupendi

Uyu ana mtu wake anajipimia tu

Cha pili mwanafunzi wa diploma kufeli mpaka kurudia mwaka ni kilaza pro max. Angekua CO labda. Interwise amefeli mtihani wa leseni

Cha tatu mwanaume huwa halilii ndoa, kama anakuhitaji uyo ndo angeku fosi wewe na hata kubeba ujauzito wako

HAUPENDWI
 
Maskini weeh sijui nani alikushauri kaka mwanamke akitamani aolewe na mwanaume anaye mpenda mara nyingi yeye ndio huwa anaforci ndoa....itoshe kusema tafuta kada mwenzako uoe huyo fanya mchakato uweke utembee atakusumbua[emoji846][emoji846][emoji846]

Mwanamke asiye bikira ndiye hu-force mambo kwa vile keshatumika, ila bikira lazima awe na nyodo.
Aise mimi nikiwa na uhakika ninayemuoa ni bikira, nitasubiri hadi basi maana mwanamke kunitunuku ubikira wake hiyo ni heshima kubwa sana.
 
Huwa nashangaa sana kuona mwanaume akipapalika na kubembeleza kuoa.

Mwanamke ndo anatakiwa awaze unamuoa lini, sio wewe uwaze mwanamke atakubali lini umuoe.

We kweli kada wa ccm
 
Mwanamke asiye bikira ndiye hu-force mambo kwa vile keshatumika, ila bikira lazima awe na nyodo.
Aise mimi nikiwa na uhakika ninayemuoa ni bikira, nitasubiri hadi basi maana mwanamke kunitunuku ubikira wake hiyo ni heshima kubwa sana.
Awe bikra asiwe bikra ukiona unaletewa nyodo na mwabamke kwenye kumuoa jua wazi kua wewe ni zoba, zumbukuku na mshamba wa mapenzi.
 
Acha kwanza kuongelea Taifa, maliza hii issue ndogo.
Pia hakuna mtu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…