Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Kuna uzi nyingi zilianzishwa kuhusiana na tamisemi ikilalamikiwa badili ya kufanya selection sahihi kwa sababu ya machaguzi ya waalimu wakageuka wapoke rushwa wakuu mara ya kwanza nilikuwanahisi ni baadhi ya watu mwishoni nikagundua kumbe uhuni huu nazani umefanywa na wafanyakazi karibia wote.kwa sababu zifuatazo.

1.Penye rushwa na upendeleo huvunja ufanisi wa kazi kwani haiwezekani jina zaidi ya moja kujirudia zaidi ya mara 196 ingawa baada ya watu kuliona nadhani wamelisahihishwa .tuna watu wa IT walioaminiwa zaidi wamejiriwa pale wengi sasa makosa kama hayo hawakuyaona!? Sasa kama hawakuyaona kuna haja gani ya wenyewe kuendelea kukaaa ofisini.

2.watu wa walimaliza form four mwaka 20019 kupangiwa vituo vya kazi nia aibu na fedheha kw watu tuliowamini kushindwa kutekeleza majukumu yao. Nashauri waziri ambaye atachaguliwa na tamisemi asiwaache watu hawa ofisini kwanini wachezee maisha ya wannchi.(collective resposibilities.)

3.kushindwa kufuata mashariti ya taangazo kwani waliopasa kuajiriwa ni kuanzia mwaka 2014~2019. Wenyewe wameajiri mpaka watu waliohitimu mwaka 1993 form 4 na kuwaacha wahitimu wanaostahili.ikumbukwe awanu ya Jk hakuna mwlimu ambaye hakuajiriwa whitimu wote waliajiliwa. Hao ambao hawakuajiliwa kipindi kile ni either walilipot vituoni na wakapewa pesa za kujikimu kisha wakandoka wakaenda kufundisha private au ni wale waliochukua mikopo benki na kisha kuacha kazi ndio wengi wao wamejiliwa.Na pia kwa utaratibu watmishi hewa waliotumbuliwa kwa nguvu zote tutegemee watarudi kwa kasi.

Itaendelea
 
Wakuu Kuna udanganyifu mwingi Sana kwenye hizi ajira watu wa Tamisemi wamefanya uhuni mkubwa Sana Kuna majina hewa na namba fake nyingi Sana mpaka unajiuliza Kuna nn,Tamisemi ichunguzwe huu ni upumbavu zama za Teknolojia.
Hii ajira haikuwa na interview kwahiyo nafikiri umakini wa kuchagua ulikuwa mdogo
 
Abdallah bwana achaneni nae,yupo huku USA kwa Tumbili,Kwanza nilitaka asomee urubani,lakini nikaona afanye crush program ndio akasomea ualimu kwa sasa yupo vizuri msiwe na wasi ndio maana wamempenda sana yaani hata sekondari anagonga tu no problem kabisa ni mimi tumbili wa ulaya shahidi mwaminifu.

ABBDALLAH AHMED JIGWA
No yake ya Mtihani ni S2732-0091/2019
MTU huyu amehitimu shule ya sekondari MNADANI mwaka 2019
Haya ndo matokeo ya ana division four ya Point 31 na ufaulu wake wa masomo ni huu hapa;-
Civ F Hist D Geo F Kisw C Engl D Lit Eng F Bio F B/Math
F
 
"Everything happen for a reason" nilivoona hakuna serial number nilijiuliza sana(kwamba excel ya hao jamaa ilishindwa kabisa kuweka number jibu ni hapana haikushindwa then why?). Nikajipa kaz ya kuhesabu idadi kwa baadhi ya pages,wastani kila page ni kama watu 40,document ina page 196...
You're good upstairs!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huenda kinachotafutwa ni kufutwa kwa hizi ajira hadi itapotangazwa upya na itatumia muda mrefu sana kuja kutangazwa tena
 
Tunataka Tamisemi waje hapa watwambia kwa nini wamedanya udanganyifu huo na mkuu wao raisi,tumeshajua leo lao wale akina abdala waongeze idadi afu kwenye kuriport waonekane hawana vyeti ko idadi ibaonesha wanaajiriwa6000. Afu wanaoingia kazini ni 4000
 
Alipata alama reasonable awali two or three years back, akaresit 2019 ili aepuke ualimu, ndo kapata hiyo points 31. Kumbuka aliresit akiwa chuo at the zake time.
Mkuu kwel umepita shule.na ukaelewa maana ya PRIVATE CANDIDATE NA SCHOOL CANDIDATE kama mtu amerisit mtihani namba ya mtihani huwa n P na siyo S kama tulivyoona hapo

Naona unajitahid kutetea kumbuka n elimu ndogo tu ya kufikir wala siyo ROCKET SCIENCE

Hizi ajira zina madudu mengi mkuu
 
Back
Top Bottom