Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Kuna uzi nyingi zilianzishwa kuhusiana na tamisemi ikilalamikiwa badili ya kufanya selection sahihi kwa sababu ya machaguzi ya waalimu wakageuka wapoke rushwa wakuu mara ya kwanza nilikuwanahisi ni baadhi ya watu mwishoni nikagundua kumbe uhuni huu nazani umefanywa na wafanyakazi karibia wote.kwa sababu zifuatazo.
1.Penye rushwa na upendeleo huvunja ufanisi wa kazi kwani haiwezekani jina zaidi ya moja kujirudia zaidi ya mara 196 ingawa baada ya watu kuliona nadhani wamelisahihishwa .tuna watu wa IT walioaminiwa zaidi wamejiriwa pale wengi sasa makosa kama hayo hawakuyaona!? Sasa kama hawakuyaona kuna haja gani ya wenyewe kuendelea kukaaa ofisini.
2.watu wa walimaliza form four mwaka 20019 kupangiwa vituo vya kazi nia aibu na fedheha kw watu tuliowamini kushindwa kutekeleza majukumu yao. Nashauri waziri ambaye atachaguliwa na tamisemi asiwaache watu hawa ofisini kwanini wachezee maisha ya wannchi.(collective resposibilities.)
3.kushindwa kufuata mashariti ya taangazo kwani waliopasa kuajiriwa ni kuanzia mwaka 2014~2019. Wenyewe wameajiri mpaka watu waliohitimu mwaka 1993 form 4 na kuwaacha wahitimu wanaostahili.ikumbukwe awanu ya Jk hakuna mwlimu ambaye hakuajiriwa whitimu wote waliajiliwa. Hao ambao hawakuajiliwa kipindi kile ni either walilipot vituoni na wakapewa pesa za kujikimu kisha wakandoka wakaenda kufundisha private au ni wale waliochukua mikopo benki na kisha kuacha kazi ndio wengi wao wamejiliwa.Na pia kwa utaratibu watmishi hewa waliotumbuliwa kwa nguvu zote tutegemee watarudi kwa kasi.
Itaendelea