Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Sijui kuna nguvu gani kwenye huu utawala wa kifalme. Maana likitokea zigo anabebeshwa Waziri mkuu,anafukuzwa/kuachia madaraka. Mfalme/Malkia yeye katuliaa
Ufalme ni symbol tu ya heshima ya utamaduni wao,waziri mkuu na bunge ndio mtendaji wa shughuli za nchi ndio maana Mambo yakienda mrama waziri mkuu anawajibishwa
 
Huyo ndio alisabisha matatizo ya Diana, Waingereza hawampendi sana.
 
Waingereza wenyewe wanaelekea kuchoshwa na mfumo wa kifalme. Budget ya kuihudumia familia ya kifalme ni kubwa sana, wanahoji.
Nadhani shida ni watu tu wamechoka na kutukuza familia moja.

Lakini hiyo familia inaingiza mapato makubwa sana UINGEREZA kwa UTALII.

Pili, hiyo familia haifanyi maamuzi yoyote ipo tu kama ceremonial.

Maamuzi ya maisha ya siasa za UINGEREZA hufanyika bungeni na Waziri Mkuu wa UINGEREZA ambaye huchaguliwa kwa kura.
 
Jamiiforums sijui siku hizi wakoje..haifungui picha, kuna shida mahali

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…