Ni mwanaume mpumbavu tu ndio atagombana na familia kisa mkewe. Kwa hawa wanawake wa kizazi cha nyoka, tena mmarekani ambaye ndoa ya kwanza ilishamshinda. Harry amesacrifice familia yake kwa mwanamke asiyejielewa. Sidhani kama ndoa yao itakuwa na maisha marefu.Na harry kagombana na familia nzima kisa mwanamke au viugomvi vya Meghan na Catherine wanaume inabidi muwe smart wanawake viugomvi vyetu Huwa vya mambo ya hovyo na wewe mwanaume ukiingia kichwa kichwa inakula kwako
We are emotions in decision making
kawaida tu, anajua nini anafanya........ni mtu mzima, yupo huru kiimani na kifikra.Yaani Harry kujitenga na familia ni kosa ambalo àtakuja alijutie siku moja.
Halafu babake king Charles naona Kama huwa hajali kabisa mambo ya mwanaye, kiasi naanza kuamini maneno ya media, Kwamba Kuna uwezekano Harry sio mtoto halali wa his majesty
Kwamba Meghan akiondoka atakosa replacement, usimfananishe Harry na mtoto wa kapuku hapa tandale.Ooooh nitasikitika sana,jamaa ame sacrifices sana
Don't rush!sijaongelea kwamba atakosa mtu,Dunia nzima wanawake Wana wish kuwa nae,nachoongelea Mimi ni vile alivyojitoa Kwa Meghan mpaka akajitoa kwenye ufalme halafu Meghan aje kudai talaka haitokaa sawa Kwa upande wa HarryKwamba Meghan akiondoka atakosa replacement, usimfananishe Harry na mtoto wa kapuku hapa tandale.
Ni kweli kabisa unagombanaje na familia kisa mwanamke anahisi mara hapendwi na mbaya zaidi ana force kujitenga na familia zipi watu Huwa hawatofautiani na huyo Meghan hapatani hata na familia ya baba yake na nduguze. In short Meghan ni toxic mno and bitterNi mwanaume mpumbavu tu ndio atagombana na familia kisa mkewe. Kwa hawa wanawake wa kizazi cha nyoka, tena mmarekani ambaye ndoa ya kwanza ilishamshinda. Harry amesacrifice familia yake kwa mwanamke asiyejielewa. Sidhani kama ndoa yao itakuwa na maisha marefu.
Atakuwa kampiga teke chura, ataenda kuoa mzungu pure sasa.......sema wazungu wana maadili fulani strict kuhusu mahusiano. Kwa ngozi nyeusi ukiona mwanamke anamwangaisha mwanaume, ni kwamba huyo mwanaume hana pesa, maana replacement zipo za kutosha.Don't rush!sijaongelea kwamba atakosa mtu,Dunia nzima wanawake Wana wish kuwa nae,nachoongelea Mimi ni vile alivyojitoa Kwa Meghan mpaka akajitoa kwenye ufalme halafu Meghan aje kudai talaka haitokaa sawa Kwa upande wa Harry
Na atajuta kweli hasa ukichangia Meghan yule alifata umaarufu na ndoa ya kifalme baada ya kupata alichotaka akaanza visa naomba tu Mungu wadumu Hadi uzeeni bila hivo ikitokea talaka haraka anaweza jinyonga hivi hivi ukichangia na kule Kwa familia aliondoka kiugomvi.Yaani Harry kujitenga na familia ni kosa ambalo àtakuja alijutie siku moja.
Halafu babake king Charles naona Kama huwa hajali kabisa mambo ya mwanaye, kiasi naanza kuamini maneno ya media, Kwamba Kuna uwezekano Harry sio mtoto halali wa his majesty
Sijui hata unaongea Nini.Atakuwa kampiga teke chura, ataenda kuoa mzungu pure sasa.......sema wazungu wana maadili fulani strict kuhusu mahusiano. Kwa ngozi nyeusi ukiona mwanamke anamwangaisha mwanaume, ni kwamba huyo mwanaume hana pesa, maana replacement zipo za kutosha.
🤣🤣🤣Yaani Hadi kina chaumbea BBC na CNN wamemdharau?Meghan asimfanyie ubaya mwenzie,ikatokea Harry akipewa talaka Hali yake itakuwa mbaya sana na zile nywele zitazidi chachamaa.... Maana pale keshaharibu reputation yake kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa,Meghan amsitiri tu mwenzieNa atajuta kweli hasa ukichangia Meghan yule alifata umaarufu na ndoa ya kifalme baada ya kupata alichotaka akaanza visa naomba tu Mungu wadumu Hadi uzeeni bila hivo ikitokea talaka haraka anaweza jinyonga hivi hivi ukichangia na kule Kwa familia aliondoka kiugomvi.
I think na familia washampuuza na mambo yake apambane na pendo lake hata BBC au CNN sikuona hata wakimzumu.
Ndo hivyo, ukiondoka ataingia mwingine na maisha yataendelea kama kawaida......Sijui hata unaongea Nini.
Sijui nyie mnamchukuliaje Harry, huyo kijana ana misimamo na anajiamini kupita maelezo, msimchukulie kama ni mtu wa kulialia au kuyumba yumba.🤣🤣🤣Yaani Hadi kina chaumbea BBC na CNN wamemdharau?Meghan asimfanyie ubaya mwenzie,ikatokea Harry akipewa talaka Hali yake itakuwa mbaya sana na zile nywele zitazidi chachamaa.... Maana pale keshaharibu reputation yake kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa,Meghan amsitiri tu mwenzie
Maisha sio rahisi Kama unavyoyachukulia....usione watu wanapata msongo wa mawazo Kuna mengi kwenye Maisha ukikua utaelewa ninchomaanishaNdo hivyo, ukiondoka ataingia mwingine na maisha yataendelea kama kawaida......
Sawasawa 👍Mapicha ni mengi sana my dear ila chukua hii hapa 👇🏾
View attachment 2612568
☝🏾Mwenzako aliyekuwa nyumba ndogo Camila (pichani) sasa amekuwa Malkia wa Uingereza, alikuwa nyumba ndogo wa Prince Charles ambaye baadae alifunga ndoa rasmi na Prince 2005.
Kuwa mwaminifu kwa mwanaume uliye naye!.
Nikikua😀Maisha sio rahisi Kama unavyoyachukulia....usione watu wanapata msongo wa mawazo Kuna mengi kwenye Maisha ukikua utaelewa ninchomaanisha
Yes😁Nikikua😀
Akiona hii comment yako unaweza ukawa ugomvi wa ngumi, mimi simo 🤣Yes😁
Nani Tena?kwani yumo humu?Akiona hii comment yako unaweza ukawa ugomvi wa ngumi, mimi simo 🤣
Yani CNN, BBC hawaja mu zoom hata kidogo wamemsusa na hawaja mwonyesha hata akiondoka wamempuuza tu. Sasa Meghan Hadi ugomvi wao na Kate kugombania hereni za princess Diana na Kate Middleton kuzivaa zikaleta ugomvi mkubwa, mara Meghan alimwamgalia vibaya princess Charlotte kwenye harusi ya Meghan [emoji2][emoji2] in short ni viugomvi vya wanawake Harry naye kachukia eti. Ila Meghan Harry ana mpenda na kumsikiliza asingetumia hyo chance kumtenga na familia yake.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Hadi kina chaumbea BBC na CNN wamemdharau?Meghan asimfanyie ubaya mwenzie,ikatokea Harry akipewa talaka Hali yake itakuwa mbaya sana na zile nywele zitazidi chachamaa.... Maana pale keshaharibu reputation yake kuanzia ngazi ya familia mpaka ngazi ya taifa,Meghan amsitiri tu mwenzie
Yaani àtakuja ashangae. Na wamarekani walivyo hawana dogo sasaNi suala la muda tu huyo Meghan atakuja kumpiga tukio moja la kibabe Sana Harry hataamini..
Lazima atakuwemo, janja janja sana nyie.....ila hawezi kuninasa mimi baharia mzoefu 🤣Nani Tena?kwani yumo humu?