Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

Inavyoelekea hata kabla ya kuoa Harry inawezekana hakuwa comfortable within the family, kwa hiyo kuoa ilikuwa kama fursa kwake kufanya hizo moves ili awe independent zaidi, na huenda ilisababishwa na mambo yaliyozunguka kifo cha mama yake.....kwa hiyo watu kufikiri Meghan anaweza kuwa ndiyo chanzo inaweza ikawa siyo kweli.​
 
Picha hazifunguki [emoji24]
 
upuuzi tu sasa huyo mkoloni aliyerithi kiti cha mamaake mnamsujudia wa kazi gani, mnaacha kufanya kazi mnatafuta taarifa za kipumbaf , huuu ni ujinga kabisaaa na mirais ya afrika kama kawa imeenda ya kutosha kabisaaaa kupakiwa kwenye mabasi SHAME
 
Ila Wanawake inabidi tuwe na huruma wakati mwingine. Hivi unajisikiaje pale mwanaume ameishi na ndugu zake vizuri maisha yake yote Ila baada ya ujio wako mtu anajitenga na nduguze.
Inabidi tujifunze kuwa Kama daraja kuunganisha familia badala ya kuchochea magomvi.
 
What if, kahangaika Kwa uwezo wake kuunganisha familia ikashindikana jmn?
Amuache mumewe?
 
Sijui kuna nguvu gani kwenye huu utawala wa kifalme. Maana likitokea zigo anabebeshwa Waziri mkuu,anafukuzwa/kuachia madaraka. Mfalme/Malkia yeye katuliaa
Yapo yaliyofanyika wakati wa kuanzisha huo mfumo...
Kwahiyo ipo nguvu nyuma yake ya hayo mambo
Nadhani umeelewa...
 
Kumbeee🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…