Tazama Baadhi Ya Picha: Kutawazwa kwa Mfalme Charles III

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
gettyimages-1252754972.jpg

☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.

gettyimages-1252746685.jpg

☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.

Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
gettyimages-1252741057.jpg

☝🏾Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.

gettyimages-1487989293.jpg

☝🏾Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kilichoundwa mnamo mwaka 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme mpya tangu ule wa William IV mnamo 1831 hadi leo 2023.

Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.

Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.

Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.
 
👇🏾Prince William, Prince of Wales akimbusu babake, Mfalme Charles III, akiwa amevalia Taji la St. Edward, wakati wa sherehe ya kutawazwa.
gettyimages-1252751938.jpg

👇🏾Ndege za kivita zikitoa alama ya mishale nyekundu, buluu na kijivu zilipopita juu ya Jumba la Buckingham huku washiriki wa familia ya kifalme wakisimama kwenye balcony.
gettyimages-1252777415.jpg
 
Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
View attachment 2612495
☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.

View attachment 2612501
☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.

Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
View attachment 2612503

☝🏾Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.

View attachment 2612505
☝🏾Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kililojengwa mnamo 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme tangu ule wa William IV mnamo 1831.

Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.

Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.

Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.
Asante kwa taarifa
 
Prince Harry anashida gani TODAYS
Kwa ufupi ni kuwa mwaka 2020, Price Harry aliamua kujitenga na kuondoka kutoka kwenye maisha ya kifalme.

Kisa na mkasa ni yule mwanamke mwenye asili ya Afrika Meghan na alitangaza uamuzi wa kuwa mbali kutoka kwa familia yao ambayo ilipinga sana kuingiza rangi nyeusi kwenye ukoo.
 
Endelea mapicha picha
Mapicha ni mengi sana my dear ila chukua hii hapa 👇🏾
20230506_195655.jpg

☝🏾Mwenzako aliyekuwa nyumba ndogo Camila (pichani) sasa amekuwa Malkia wa Uingereza, alikuwa nyumba ndogo wa Prince Charles ambaye baadae alifunga ndoa rasmi na Prince 2005.

Kuwa mwaminifu kwa mwanaume uliye naye!.
 
Mapicha ni mengi sana my dear ila chukua hii hapa 👇🏾
View attachment 2612568

☝🏾Mwenzako aliyekuwa nyumba ndogo Camila (pichani) sasa amekuwa Malkia wa Uingereza, alikuwa nyumba ndogo wa Prince Charles ambaye baadae alifunga ndoa rasmi na Prince 2005.

Kuwa mwaminifu kwa mwanaume uliye naye!.
Hii i think ni destiny au fate

Au ww wasemaje mkuu?
 
Back
Top Bottom