TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Picha zipo nyingi sana ila nakuletea baadhi tu zinazojieleza na kukupa maswali.
☝🏾Huyu jamaa Prince Harry, aliudhuria sherehe ya kutawazwa kwa baba yake, Mfalme Charles III, ila mnajua shida aliyo nayo.
☝🏾Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak na mkewe Akshata Murty wakiwasili kabla ya kutawazwa.
Kuna jambo la kujifunza hapo muhindi kazaliwa uingereza alafu kawa kiongozi wa wazungu na anapewa heshima zote, vipi hapo kwenu!.
☝🏾Mke wa Rais wa Marekani Dk Jill Biden (nguo ya buluu), na mjukuu wake Finnegan Biden wakiingia eneo la tukio mapema.
☝🏾Mfalme Charles III na Malkia Camilla wakisafiri kwenye kigari cha Dhahabu, kilichoundwa mnamo mwaka 1760 na kutumika katika kila unapoapishwa Ufalme mpya tangu ule wa William IV mnamo 1831 hadi leo 2023.
Katika picha hii ndipo unaweza kuona baadhi ya askali wanaume na wanawake kutoka nchi Jumuiya ya madola wakiwakilisha nchi zao.
Jaribu kuzoom kwa karibu askali aliyepo upande wa kushoto unaweza kuwa unamfaham labda katoka kambi ya kikosi gani hapa Tanzania.
Moderator mada hii haifanani na mada yoyote so naomba initegemee kama inavyoonekana.