Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

Mama hana washauri wanaomtakia jema,wengi wanaoshauri sio ma expert aliwachukua kwa kigezo cha udini,sasa wajanja wanapita na ajenda zao bado hana taarifa!
Akae vizuri watu wanamuharibia legacy yake live live bila ye kujua!
 
hahhahahahaha kmmmmk
Hajui raha ya mkojo ule falasi huyu!

Sehemu ambayo serikali ingecheza kama pele ni kurasimisha malaya tu na kuwe na vijiwe rasmi vya watu kujipatia huduma ya kuopoa milupo walipishwe kodi ya mapato kila week tu hata wakichangia elf 10 inatosha kwa mwezi ni 40K!

Majengo ya NSSF ambayo hayaingizi hela wawape malaya wafanyie kazi wawe wanachukua kodi tu kila week! Uone kama kuna mtu atalalamikia kodi ya malayaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…!

Tena serikali iwe very strict yani, ole wake malaya aokotwe anajiuza barabarani bila kulipa kodi fine yake ataozea jela!
 
Mama hana washauri wanaomtakia jema,wengi wanaoshauri sio ma expert aliwachukua kwa kigezo cha udini,sasa wajanja wanapita na ajenda zao bado hana taarifa!
Akae vizuri watu wanamuharibia legacy yake live live bila ye kujua!
Mwigulu nchemba amesilimu?
Si ndiye anayewasulubisha wa tz.
 
Sasa hv naona hawatumi tena mchanganuo kwenye miamala...
 
Aliposema mtanikumbuka mlimtukana na kumuita majina mabaya...
Haya maneno yako yangekuwa na mashiko sana endapo nchi ingekuwa inatawaliwa na Chadema au ACT - Wazalendo, baada ya kuiangusha ccm kwenye uchaguzi mkuu uliopita!

Ila kwa bahati mbaya bado nchi inatawaliwa na mijitu ile ile inayo jivika ngozi za kondoo, huku kwa ndani yakiwa ni ma mbwa mwitu makali.

Hivyo hakuna jipya! Hizi ni kauli tu za porojo na za kutaka kutuaminisha ya kwamba huyo marehemu alikuwa ni bora sana! Kumbe wote ni wale wale tu.
 
Mama hana washauri wanaomtakia jema,wengi wanaoshauri sio ma expert aliwachukua kwa kigezo cha udini,sasa wajanja wanapita na ajenda zao bado hana taarifa!
Akae vizuri watu wanamuharibia legacy yake live live bila ye kujua!
Ungejikita kwenye agenda iliyopo mezani ingependeza zaidi, sasa mambo ya udini yanaingia vipi hapa? Acha kufikiri kijima mkuu, yaani mahali kukiwa na ratio hata ya 4/10 Muslim katika uteuzi wa nafasi yyt ni shida nchi hii sababu ilishazoeleka ratio ya 9/10 au 10/10 Christian huko nyuma?.

Suala la msingi unapaswa kutambua ni kuwa suala la waislam kuwa nyuma kielimu miaka ya nyuma ni la kihistoria, limeanza enzi za ukoloni na likaja mpaka miaka ya mwishoni ya 90, lakini baada ya Y2K muamko umekuwa mkubwa sana, Kuna waislam wengi sana wamesoma na wengi wanaendelea kupata fursa za elimu,tuseme kwasasa sy issue tena, sema mifumo ilikuwa inawabana huko nyuma, walikuwa hawapati nafasi.

Lakini la muhimu ni kuwa mtu anachaguliwa kwa kukidhi vigezo vya nafasi husika na siyo dini, ndy maana zamani tulikuwa hatuna tatizo hata kama 100/100 ya wateuliwa walikuwa wanatoka dini moja.
 
Haya yote yameanzia kwa magufuli. Kwanza alisababisha tukawa na wabunge vimeo wasio na akili wamejazana kule bungeni kwa kuiba kura.
Kuna uwezekano.
Mkikaa wanawake peke yenu ndani ya nyumba kuvaa nguo siyo lazima.
Unamuonea aibu nani?
 
Nchi ishaoza hii kila mtu anakuja na tege lake ili mradi kuahiribu tuu leo Mpesa kesho litaibuka jambo lingije maana hawana ubunifu wa kodi mpya tofuati na kuongeza kodi kwa Wananchi zisizoeleweka...
 
Kumtumia mtu 1M mpaka 3M ni kama 14,400.. kwa mfano niko Dar.... Kariakoo to Kimara

Nachukua 1 M naweka mfukoni napanda mwendokasi naenda nampa hela yake then nauli ni 650 kwenda na kurudi 1300 tu... Kwenye 14400 nakuwa nime save 13,100 nzima
 
Naye aliyekusudiwa aweza aje chukua fedha yake kwa gharama hiyo hiyo.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Pambana
 
Nchi ishaoza hii kila mtu anakuja na tege lake ili mradi kuahiribu tuu leo Mpesa kesho litaibuka jambo lingije maana hawana ubunifu wa kodi mpya tofuati na kuongeza kodi kwa Wananchi zisizoeleweka...
Tuanze uza vocha kama mwanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…