nra2303
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 2,975
- 2,547
Ungejikita kwenye agenda iliyopo mezani ingependeza zaidi, sasa mambo ya udini yanaingia vipi hapa? Acha kufikiri kijima mkuu, yaani mahali kukiwa na ratio hata ya 4/10 Muslim katika uteuzi wa nafasi yyt ni shida nchi hii sababu ilishazoeleka ratio ya 9/10 au 10/10 Christian huko nyuma?.
Suala la msingi unapaswa kutambua ni kuwa suala la waislam kuwa nyuma kielimu miaka ya nyuma ni la kihistoria, limeanza enzi za ukoloni na likaja mpaka miaka ya mwishoni ya 90, lakini baada ya Y2K muamko umekuwa mkubwa sana, Kuna waislam wengi sana wamesoma na wengi wanaendelea kupata fursa za elimu,tuseme kwasasa sy issue tena, sema mifumo ilikuwa inawabana huko nyuma, walikuwa hawapati nafasi.
Lakini la muhimu ni kuwa mtu anachaguliwa kwa kukidhi vigezo vya nafasi husika na siyo dini, ndy maana zamani tulikuwa hatuna tatizo hata kama 100/100 ya wateuliwa walikuwa wanatoka dini moja.
Cheki ile list ya advisor wake niambie mwenye CV ya maana nani pale?Think critically hata km ni wapagani CV ndio inayomata brother!sioni km uweledi na expirience alivizingatia zaidi ya udini!
Angalia maraisi waliotangulia pia! Sasa mkiona unatoa laki2 kwa 20k unamlaumu nani?