Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Mnyaturu habari nyingine aisee,akili nyingi sana huyu jamaa
 
Kha!!,,, mbona rahisi tu.nguvukazi itumike hapo kuyasukumia pembeni hayo magari,alafu wenye magari wakija wasiyatoe mpaka walipe faini.
 
Hilo tu, tutachangia mengine.
Uhuru na haki vina thamani kubwa kuliko magari.
Uzeni tu

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo la kipuuzi sana hili, wapinzani wanajiona wao ndo wenye nchi hii peke yao. Kwani kivuko kuwa kibovu ina maana hakitatengenezwa ili kipone na kiendelee na shughuli za kijamii. Mambo mengine sijui wapinzani wanafikiria kwa kutumia nini?
 
Taarifa alizoambiwa kuwa ferr ni mbovu ,hivyo packing ni useless, akaacha vitu vyake hapo akaenda .
Kosa lipo kwake au kwa aliemdanganya?
 
May it was true hiki kivuko kimeharibika or not.

Lakini angalia haya madhara anayaleta kwa CCM au kwa wananchi wasio na hatia ambao may be waliplan kumchagua october 28th. Hapa ndipo kosa lilipoanzia.

Ila angetumia hiki anachokiami kutushawishi kuwa hii serikali ina mambo hayo ambayo anayaamini lakini sio kututesa wananchi.

This guy is not Smart et all.
 
Taarifa alizoambiwa kuwa ferr ni mbovu ,hivyo packing ni useless, akaacha vitu vyake hapo akaenda .
Kosa lipo kwake au kwa aliemdanganya?
Kwani ubovu wa kitu ni kifo??

Hivi vitu vijatengenezwa na wakati wowote vinaweza fanya kazi kama Mwanzo/kawaida.
 
What if hao raia hapo nao wakaamua kumwaga mchuzi hapo kwenye hayo Magari!
Unafikri raia walioko hapo hawajaona alichotendewa Lissu? Hakuna raia mjinga kama mawazo yako wote walionesha kuguswa na uongo alioambiwa Lissu! Sasa wamsubiri amalize mkutano ndio washushe magari na kupakia tena kwa safari ya kwenda Ukerewe!
 
Ukitaka kufanya ligi na Lisu hasira zako weka pembeni kwanza na tuliza akili .Vinginevyo utapata ugonjwa wa moyo asubuhi kweupe.Sijui alijifunzia wapi huyu jamaa jinsi ya ku-deal na watu wenye hila.sasa hapo utaanzaje kumlaumu kwamba amesababisha usumbufu wakati mlimwambia kivuko hakipo ni kibovu
 
Unafikri raia walioko hapo hawajaona alichotendewa Lissu? Hakuna raia mjinga kama mawazo yako wote walionesha kuguswa na uongo alioambiwa Lissu! Sasa wamsubiri amalize mkutano ndio washushe magari na kupakia tena kwa safari ya kwenda Ukerewe!
Jidanganye hivo hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…