mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Si walimwambia Leo haiwezekani kuwa na safari kule?Kwani ubovu wa kitu ni kifo??
Hivi vitu vijatengenezwa na wakati wowote vinaweza fanya kazi kama Mwanzo/kawaida.
Wewe una uelewa kuhusu Insurance au unabwabwaja tu!Magari yana insurance tena comprehensive..watalipwa mapyaa
Kwahiyo hao raia happy ndio wamemfanyia Hilo Jambo. Wangeweka Gari zao pembeni wangepungukiwa Nini!?Hivi umesoma na kuelewa kilichotokea au umekurupuka tu kupost utopolo?
Sawa jidanganye hivo hivoRaia wao hawana shida mkuu. Wengi wameongea kuwa wako na Lissu maana haki ni ya kila mtu. Yani wenyewe tena wamepongeza huo ujasiri wa Lissu
Uwe unatumia hata hizo akili kiduchu ulizobakishiwa, umesikia wapi kuwa Lissu amefunga njia?
We we ndio huelewi magari ya msafara wa Lisu kwenye kivuko madereva hawapo hivyo wmeblock magari mengine kushuka kweye kivukoUwe unatumia hata hizo akili kiduchu ulizobakishiwa, umesikia wapi kuwa Lissu amefunga njia?
Njia imefungwa sasa fanya ufanyalo, alaaaa!Jidanganye hivo hivo
mabasi yangewaacha wewe usiyejua unachoongea.yaani hapo wamepiga pini mabasi ili yamsubiri Lisu.Akifika hapo watasalimiana kwanza na kujirdhisha ni kweli zile risasi 16 hazikumuuaPeleka ujinga wako huko. Wangekuwa wanataka kuonana naye wangetoka huko huko walikotoka si ndipo alipo
kwahiyo umeambiwa Mabasi na hayo tu na Kama lengo lao lilikuwa ni Hilo wangelala hata huko huko.mabasi yangewaacha wewe usiyejua unachoongea.yaani hapo wamepiga pini mabasi ili yamsubiri Lisu.Akifika hapo watasalimiana kwanza na kujirdhisha ni kweli zile risasi 16 hazikumuua
Kwa hiyo unasemaje?We we ndio huelewi magari ya msafara wa Lisu kwenye kivuko madereva hawapo hivyo wmeblock magari mengine kushuka kweye kivuko
Hata wao wanaelewa kuwa magari yalichwa pale sababu huduma hazikuwepo.May it was true hiki kivuko kimeharibika or not.
Lakini angalia haya madhara anayaleta kwa CCM au kwa wananchi wasio na hatia ambao may be waliplan kumchagua october 28th. Hapa ndipo kosa lilipoanzia.
Ila angetumia hiki anachokiami kutushawishi kuwa hii serikali ina mambo hayo ambayo anayaamini lakini sio kututesa wananchi.
This guy/gay is not Smart et all.
Wanaandaa vijana wa kushambulia msafara kwa mawe, wanafika kwenye kivuko na kupakiza magari then wanakodi kivuko kusingizia kimekataa kwenda.Watu walio kwenye msafara wa Lissu ni akili kubwa aisee.
What if hao raia hapo nao wakaamua kumwaga mchuzi hapo kwenye hayo Magari!
Swali ni moja tu njia imefungwa utafanya nini sasa?Yaani watu washinde hapo eti kwa sababu Kuna mtu kaamua kufanya ujinga huo