Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Uchaguzi 2020 Tazama hii video ya kivuko alichozuiwa kupanda ndugu Tundu Lissu kwa madai kuwa ni kibovu kikiwa Mwibara kisha soma ufafanuzi wa yaliyotokea

Wangekuwa wanataka kuonana naye wangetoka huko huko walikotoka si ndipo alipo
 
Peleka ujinga wako huko. Wangekuwa wanataka kuonana naye wangetoka huko huko walikotoka si ndipo alipo
mabasi yangewaacha wewe usiyejua unachoongea.yaani hapo wamepiga pini mabasi ili yamsubiri Lisu.Akifika hapo watasalimiana kwanza na kujirdhisha ni kweli zile risasi 16 hazikumuua
 
mabasi yangewaacha wewe usiyejua unachoongea.yaani hapo wamepiga pini mabasi ili yamsubiri Lisu.Akifika hapo watasalimiana kwanza na kujirdhisha ni kweli zile risasi 16 hazikumuua
kwahiyo umeambiwa Mabasi na hayo tu na Kama lengo lao lilikuwa ni Hilo wangelala hata huko huko.
 
May it was true hiki kivuko kimeharibika or not.

Lakini angalia haya madhara anayaleta kwa CCM au kwa wananchi wasio na hatia ambao may be waliplan kumchagua october 28th. Hapa ndipo kosa lilipoanzia.

Ila angetumia hiki anachokiami kutushawishi kuwa hii serikali ina mambo hayo ambayo anayaamini lakini sio kututesa wananchi.

This guy/gay is not Smart et all.
Hata wao wanaelewa kuwa magari yalichwa pale sababu huduma hazikuwepo.
Ilikuwaje wakati yanaachwa uongozi wa kivuko usitoe maelekezo sehemu sahihi za kuegesha magari?
Inaonyesha wote walikimbia

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom