Unapodili na maharamia kama ccm, hiyo ndiyo lugha pekee wanayoweza kuielewa. Busara dhidi ya kichaa huwa ni tofauti na dhidi ya mwenye akili timamu.Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Okay Let's Wait and Sees kila Msilalamike kwa Sheria za Barbara zitakapochukua mkondo walipiweka magari sio parking Kivuko kiwe kizima ua Kibovu huna mamlaka ya kuzuia njiaa
Mngekuwa mnatoka na kukemea ujinga wa Magufuli wala tusingefika huku.That is still a public space isitoshe yeye sio sehemu ya management kujua muda kivuko kitaanza kazi.
Hivi ukiwa mfuasi wa Lissu ata commonsense tu inapotea.
Na Lissu amesharudi amechukua gari zake amesepa zake. Siku nyingine viongozi wa CCM wapevuke waachane na ushamba!Mkutano umeshafanyika watajijua wenyewe.
Huu sasa utotoMngekuwa mnatoka na kukemea ujinga wa Magufuli wala tusingefika huku.
Tulieni kama mnakunya
KAULI ZA VITISHO ndiyo MSINGI WA VURUGU ZA KILA AINA YA UHALIFU.Kwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Haingii akilini! Iweje waambiwe kivuko ni kibovu halafu waache magari yao humo?Sasa kama akina Lisu waliambiwa kibovu ikitakiwa washushe magari yao.Kwa nini waliyaacha kwenye ferry? Inahoonekana yalipoingia magari wao wkasepa kutafuta kick vyombo vya habari
Tuashukuru vyombo vingi vya habari kugoma kurusha kick zao feki
Mkuu CCM imefanikiwa kuongoza na kuwatawala watanzania kwa kuwa 70% ya watanzania ni wajinga Mtaji wa watawala ni elimu mbovu inayozuia mtu kujitambua, kutambua umuhimu wa siasa, uhuru na haki kuwa ndio tunu za taifa lenye maendeleo watanzana huona siasa ni kama ushabiki Simba na YangaUjinga
mpuuzi ni yule kenge aliyedanganya hakuna kivuko leoNa hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Na tutafunga sana njia mwaka huu, njia ya mwisho kufungwa itakuwa ile kutoka ferry kwenda ocean road kupitia ikulu ya magogoniKwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Unazijua taratibu za kwenye vivuko KE ng.e wewe?Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Wewe acha ujinga, kwenye kivuko anaye agiza gari weka hapa au pale ni wahudumu wa eneo la kivuko sio kuwa unaingiza tuu gari na kupaki.Hapana ni sehemu ya kudai fidia kwa hasara aliyoiletea kampuni kwa maamuzi yake ya kipuuzi.
Get Lissu psychological help.
Aliye toa maelezo ya ubovu wa kivuko ndiye PUMBA..........VU KABISA.Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
AhahahhwhLissu mwache aende zake. βπ½βπ½βπ½
Wanao wasiwe na akili kama zako,,Wewe ni phaller tu.
Lissu avumilie mangapi.
1. Amepigwa bunduki hakuna hatua yoyote
2. Amenyimwa matibabu
3. Amevuliwa ubunge
4. Anafungiwa kampeni
5. Anspigwa mawe.
Unataka avumilie hadi wamnyee mdomoni?
#SASA BASI#
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Dada tumia sehemu ndogo t ya akili yako kufikiria. Wewe umeambiwa kivuko hakitafanya kazi siku nzima, ingekuwa wewe ungefanyaje?Hivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze