Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Unapodili na maharamia kama ccm, hiyo ndiyo lugha pekee wanayoweza kuielewa. Busara dhidi ya kichaa huwa ni tofauti na dhidi ya mwenye akili timamu.Na hao watu wakiamua wawe Wapumbavu Kama yete unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake. Pumba....vu kabisa huyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app