Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini uongo wao wa kivuko kibovu umeanikwa hadharani. Huu ubaguzi wa kutisha unaofanywa na huyo anayejiita MWENDAWAZIMU unaleta chuki za kutisha nchini na kuharibu kabisa mshikamano wa miaka mingi. Ni ushahidi tosha kwamba ukisikia mtu anajiita KICHAA basi muamini na usimpe uongozi wa mahali popote pale kwani ATAVURUNDA TU!
We lizombie umeelewa kilichotokea kweli?Naona unatoa maushuzi tuAnazidi kutengeneza chuki kwa watu.
Tusiendelee na ratiba zetu kisa mtu mmoja na interest zake?
Haiingii akilini.
Police au askari wakiamua kuvunja vioo vya magari na kuamua ku unlock hizo gari then wa park pembeni ili shughuli ziendelee kawaida utasikia poliCCM au askaliCCM.Kumbe wanayataka wenyewe.
Hii ni aibu kwa msafara unaoongozwa mwanasheria kublock public way⚠.
Nakiri kusema jeshi la polisi wanatakiwa kuwa na busara sana katika wakati huu. but wakiaamua kutumia sheria Lissu anaenda kukiponza chama cha chadema pakubwa sana na hata kufutwa kabisa.
Kivuko kimelalamikiwa ubovu tangu kipindi hicho. Shukuruni tu Lissu hajahatarisha maisha yake. Je kingepinduka. Zengwe nyingine ni baraka ujue
Hao hata wazifunge tu maana ndo waliofanya maendeleo ya vitu! Shida ni hao wa maendeleo ya watu...Nchi hii kila mtu akiamua anafunga njia maana naona wote wanafanya hivyo sasa. Kuanzia wale wa chama tawala na sasa wapinzani wanaanza.
Walishaambiwa kuwa Lisu ni mbeba maono.Kwenye video hapa chini kinaonekana kivuko ambacho kipo upande wa Mwibara. Kilitoka Ukerewe kwenda Mwibara ambapo kimemuacha ndugu Lissu akiwa Ukerewe kwenye mkutano. Yani Lissu amefika Ukerewe na kivuko kikatoka Ukerewe (Na tuliambiwa kuwa ni kibovu)
Tazama mbele ya kivuko yanaonekana magari. Magari haya ni pamoja na gari la Tundu Lissu (Prado nyeupe) na magari mengine ya msafara wa Lissu ambayo walitaka kuyavusha kwa kutumia kivuko hicho kutoka Mwibara kwenda Ukerewe. Sasa kwa kuwa waliambiwa kuwa kivuko ni kibovu, wakamua kuyaacha magari yao hapo (kama yanavyoonekana) kisha wakaenda zao Ukerewe kwa kutumia Mtumbwi.
Sasa ajabu kivuko kimetoka Ukerewe kimefika Mwibara hatimaye wameshindwa kushusha mizigo na mabasi waliyopaki ndani ya kivuko kwa kuwa magari ya msafara wa Lissu yaliachwa hapo na madereva wote wameenda Ukerewe pamoja na Lissu (Yame block njia).Sasa wanalazimika kusubiri hadi atoke Ukerewe ndipo waje watoe hayo magari ili kivuko kiweze kushusha mizigo na hayo mabasi.
Angalizo: Tundu Lissu aliambiwa kuwa kivuko ni kibovu na kwa leo kisingefanya kazi kabisa!
Swali, hapo nani kacheza kitoto?
View attachment 1599922
Kivuko si kilikuwa kibovu bro wakayaacha tu waliambiwa hakiponi leoKwanini Lisdu afunge njia?? Haoni kuwa anawakwamisha watu! Inawezekana kweli kivuko kilikuwa kibovu lakini kimetengamaa baada ya kutengenezwa
Aliambiwa kivuko leo hakitokuwepoHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze
Busara ipi kivuko kibovu hakitokuwepo weekNa hao watu wakiamua wawe Kama yeye unajua Nini kitatokea kwenye hayo Magari.Halafu eti huyu ndiye anaomba awe Rais, wakati vitu vidogo Kama hivi anashindwa kuonyesha uvumilivu wake na Busara zake.
Aliambiwa leo kivuko hamna hakifanyi kazi.Kwa mawazo yangu,naona kama timu ya Lissu imekosea. Mwisho wa siku atakayepata tatizo si Magufuli wala CCM ni wananchi watumiaji wa hicho kivuko. Nakiri kafanyiwa roho mbaya tu ila sidhani kama anapaswa kuwa sehemu ya mkwamo kwa wananchi wengine. Mwisho wa cku kura yangu ATL kura yangu anayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yazibeje wewe jamaa bhanaSubir na mabasi yalio kwenye kivuko yazibe NJIA mpaka pale Tundulisu atapo rud kutaka kuondoka akute na yeye Madereva hawapo aanze kuombwa kupigwa mabom
Walimwambia hakuna kivuko siku mbili.cost gani alipe?Ni kulipia cost of loss wasipolipa magari yatashikiliwa hadi walipe au yatapigwa mnada na madalali wa mahakama.
Ila gharama watatakiwa kulipa si kwa wamiliki kivuko tu Bali na wenye magari binafsi waliokuwa blocked
Ofisi ya dereva yeyote ni kwenye gari hao madereva wa Lisu waliondokaje na kuachia ofisi zao au magari yao kwa kivuko? Wenye kivuko andaeni invoice haraka wakija tu hapo loss yote walipe na wenye magari binafsi blocked daini fidia
Faini ipi na aliambiwa kivuko kibovu?Kha!!,,, mbona rahisi tu.nguvukazi itumike hapo kuyasukumia pembeni hayo magari,alafu wenye magari wakija wasiyatoe mpaka walipe faini.
Guarantee ya siku 2 aliambiwaNi jambo la kipuuzi sana hili, wapinzani wanajiona wao ndo wenye nchi hii peke yao. Kwani kivuko kuwa kibovu ina maana hakitatengenezwa ili kipone na kiendelee na shughuli za kijamii. Mambo mengine sijui wapinzani wanafikiria kwa kutumia nini?
Waliokomesha wananchi ni hao ambao walisema kivuko ni kibovuHivi unajua Lissu anagombea Urais na anataka awe Rais wa Jamhuri. Hiki alichofanya ni ujinga na amethibitisha Hana Busara hata kidogo. Sasa hapo amemkomoa nani Kama siyo hao Wananchi ambao anataka wampigie kura awaongoze