Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

Sasa naanza kuona umuhimu wa matumizi ya Condom katika kupanga uzazi, kwa kutokuzingatia matumizi ya Condom leo dunia inaachiwa mtu mwenye ufinyu wa akili ambaye yupo huru kuandika upuuzi puuzi kama mada kuu
 
Umemaliza kila kitu.
 
Inflation gani controlled soda 700/= toka 500=, bia 1,700/=, mchele 3,000/=+ kutoka 1,500/=, maharage 4,000/=per kg kutoka 1,600/= per kg, gas small cylinder 23,000/= toka 18,000/= nauli za daladala 650/= kutoka 450/= usiwe mwanasiasa kuwa realistic
 
Wanajaribu kufanya sugarcoating ya tatizo as if watu wote ni wajinga kama wao.
 
Linganisha tsh kwa dollar utajiona ulivyo mpumbavu. Wakati wa JPM dollar haikuzidi 2,330
 
Hivi Tanzania kabla ya Magufuli ilikuaje? Kuna wakati najiuliza hili swali.
Kabla ya Magufuli ilikua hivi

Mfugale Flyover haikuwepo
Kijazi Flyover haikuwepo
Bus za Mwendokasi hazikuwepo
Treni za Mwendokasi haziwepo
Magufuli Hostel UDSM hazikuwepo
Ukuta kuizunguka UDSM haukuwepo
Ukuta wa Mererani haukuwepo
Soko la Madini la ndani halikuwepo
Magufuli Bus Terminal haikuepo

Nmeandika machache yanayoweza kuonekana kwa macho,
 
Kila Rais kafanya yake, Kikwete naye aliingia na kuacha vyuo, barabara shule na hospitali kibao, ajira bwerere
Ila hakuiacha nchi na madeni makubwa
 
Utuletee na pesa ya Japani inabadirishwa kwa bei gani ili tuone ikiwa thamani ya pesa huamua uchumi wa nchi
 
Hivi maana ya Inflation ni nini? Au mi ndiyo kilaza sijui kusoma na ata picha kuona sion!
 
Ila kiukweli bora Mama kuliko Magufuli! Wakati wa magufuli vyuma vilikaza sana mpaka mwenyewe akasema ole wake mtu aseme vyuma vimekaza! Mahotel yalifungwa mabar yalikufa yule mzee bora Mungu alichukua roho yake sasa kwa mama Samia mambo safi mikutano ruhsa watu hawatekwi tena kwa kweli mama Samia Mungu akubariki uishi miaka 150
 
Huu ujinga mtaacha lini!?
uchawa mpaka mnatia aibu!
 
Tafsiri ya sahihu inatakiwa iwe hela yetu imeimarika au Ksh yenye imeshuka thaman kutoka na factor zao wenyewe na sio Tsh imekuwa strong? Mfano leo hii Dollar ishuke thaman! Utasema Tsh imekuwa kutokana na nchi ya Tanzania kufanya vizuri kwenye biashara au kuna factor za huko kidunia zimesababisha thaman ya USD kupolomoka?
 
Sasa mkuu Tanzania tuna zalisha bidhaa gani za kupeleka kenya? Kama wananchi wa Dar wanatumia bidhaa kutoka Kenya na Supermarket zote zimejaa bidhaa kutoka Kenya, na Phamace zote ukienda kununua dawa utapewa dawa kutoka kenya au India
 
Hivi maana ya Inflation ni nini? Au mi ndiyo kilaza sijui kusoma na ata picha kuona sion!
Inflation maana yake ni fedha kukosa thamani.
Miaka ya nyuma kidogo, miaka ya mzee Ruksa ilikuwa kawaida watu kutembea na mabulungutu hadi kwenye soksi ili kununua bidhaa.
Na serikali ilikuwa inachapisha fedha ili kulipa wafanyakazi, yaani fedha haizalishwi kiuchumi bali inachapishwa bila kuwa na usalishaji kuichumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…