Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

Tazama katika Picha, Ofisi ya CHADEMA Mkoani Mbeya

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hiki ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala mikakati ya aina yoyote ile ya kugusa Maisha ya watanzania, zaidi ya kusaka madaraka ya ubunge na udiwani kwa ajili ya kushibisha matumbo yao?

Inawezekana vipi ndugu zangu hizi ndio zikawa ofisi za chama na kufanyia vikao vya kanda kwa ajili ya mafunzo ya viongozi wake wapya wa kanda? Kweli chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili na wanaojitambua wanaweza kukaa kwenye chumba hiki chenye giza na kuita ofisi?

Hivi hii ni ofisi au mgahawa wa uchochoroni au gest bubu au mahali wanapokutania watu wanaopanga matukio ya uhalifu? Hivi chama kinacho pokea Ruzuku ya Milioni 107 kwa mwezi kinaweza kukaa katika ofisi ya namna hii? CHADEMA miezi michache iliyopita walipata Ruzuku ya Billion 2.7. inakuwaje wakae kwenye chumba hiki cha kihuni huni kisicho hata na madirisha ya kueleweka kiasi hiki?

Hivi mnyika aliye katibu Mkuu anajitambua kweli? Haoni aibu? Wameshindwa hata kukodi au hata kuazima ukumbi makanisani wakafanyia kikao chao? Kuliko Aibu hii ya kukaa kwenye chumba cha kihuni ambacho hakina mwanga wa kutosha wala hewa nzuri wala mpangilio wa kueleweka?

Ni vipi watu waliopo humu watakuwa huru kutoa mawazo yao yenye kujenga wakati mazingira yenyewe ni mabaya na ya hovyo kiasi hicho? Wamebanana Utafikiri watu waliosombwa na difenda ya police. Halafu unakuta bila aibu wanabetua midomo yao wanasema eti wanaweza kuongoza Nchi.

Tazama tu nyuso zao walivyojikatia tamaa ,kupoteza matumaini,kujawa na msongo wa mawazo na kuwa hapo walipo kimwili tu lakini kiakili unaona kabisa hawapo hapo kabisa. Kwa hakika CHADEMA ni chama cha hovyo kuwahi kutokea hapa Nchini.

Tufike mahali kama Taifa tukubaliane kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa Rais bora na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi wa Urais zaidi ya kumuidhinisha tu yule aliyepitishwa na CCM
Screenshot_20240828-181102_1.jpg
.​

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Do you know guerilla war??... building is not so much privilege...
Acheni uvivu wa kutumia akili .hivi hiyo ni ofisi kweli kwa chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili? Chama kinachopokea Ruzuku ya mamilioni ya Ruzuku kinaweza kukaa kwenye ofisi kama hiyo kwenye vikao vya kanda? Sasa kama hizo ndio ofisi za kanda vipi huko chini? Hali ipoje?
 
Acheni uvivu wa kutumia akili .hivi hiyo ni ofisi kweli kwa chama chenye wafu wenye utimamu wa akili na mwili? Chama kinachopokea Ruzuku ya mamilioni ya Ruzuku kinaweza kukaa kwenye ofisi kama hiyo kwenye vikao vya kanda? Sasa kama hizo ndio ofisi za kanda vipi huko chini? Hali ipoje?
Chama siyo ofisi chama ni itikadi. Ndo mana kina Oliver tambo walipigania uhuru wakiwa nje ya kwao. Kama ofisi zingekuwa na tija tusingesikia madudu ya CAG Kila mwaka toka Lumumba.
Tuondolee ujinga wako hapa.
 
Kwahiyo nyie ofisi zenu pale soko matolani nzuri?? ama hakika wewe ni Mwashambwa!
Ofisi za CCM usifananishe na huo uchafu. Hivi unaelewa kuwa hicho ni kikao cha kanda na chenye kuongozwa na katibu mkuu wake John mnyika? Hivi unaweza kumpeleka Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi kwenye pagala kama hilo akafanyie kikao kazi?
 
Chama siyo ofisi chama ni itikadi. Ndo mana kina Oliver tambo walipigania uhuru wakiwa nje ya kwao. Kama ofisi zingekuwa na tija tusingesikia madudu ya CAG Kila mwaka toka Lumumba.
Tuondolee ujinga wako hapa.
Acha kutetea ujinga wewe.kwa hiyo miaka zaidi ya 32 mmeshindwa kujenga ofisi? Mnazidiwa hadi na Act Wazalendo? Ruzuku mnapeleka wapo wakati kila wakati mnatembeza mabakuli kuomba misaada?
 
Rejea historia ya Nchi.Utakuwa Hujui Ofisi zote za CCM zimetokana na Kodi A wananchi wote.Fareness Ungekuwa baada ya Mifumo wa vyama vingi Mali zote za CCM zingerudi serikalini ili vyama Vyote vianzie kwenye level moja.Pili Unasema issue ya Ruzuku huku ukijua uchakachuaji unavyofanyika kuhesabu Kura ili vyama vingine vipate mgawo- mdogo.Usishagilie ushindi inapatikana Kwa hila.
 
Acheni uvivu wa kutumia akili .hivi hiyo ni ofisi kweli kwa chama chenye wafu wenye utimamu wa akili na mwili? Chama kinachopokea Ruzuku ya mamilioni ya Ruzuku kinaweza kukaa kwenye ofisi kama hiyo kwenye vikao vya kanda? Sasa kama hizo ndio ofisi za kanda vipi huko chini? Hali ipoje?
Ofisi za ccm za mikoa zote zinazojulikana hazijajengwa kwa pesa za chama hata makao makui ya ccm Dodoma haikujengwa kwa pesa za ccm bali za umma.

Yale mashangingi yaliyokuwa kwenye kampeni yako wapi? Kama unadhani ni ya ccm ukapimwe akili. CDM hawaibi fedha za umma hivyo hata wakikaa chini wananchi wanaelewa hilo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Tuseme nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni chama cha kitapeli na ubabaishaji? Tuwaonyeshe nini muelewe ya kuwa CHADEMA ni genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo? Tuongee na kuzungumza nini muelewe ya kuwa hili ni chama cha madalali wa kisiasa tu wasio na mipango wala mikakati ya aina yoyote ile ya kugusa Maisha ya watanzania?

Inawezekana vipi ndugu zangu hizi ndio zikawa ofisi za chama na kufanyia vikao vya kanda kwa ajili ya mafunzo ya viongozi wapya wa kanda? Kweli chama chenye watu wenye utimamu wa akili na mwili wanaweza kukaa kwenye chumba hiki chenye giza na kuita ofisi?

Hivi hii ni ofisi au mgahawa wa uchochoroni au gest bubu au mahali wanapokutania wetu wanaopanga matukio ya uhalifu? Hivi chama kinacho pokea Ruzuku ya Milioni 107 kwa mwezi kinaweza kukaa katika ofisi ya namna hiyo? CHADEMA miezi michache iliyopita walipata Ruzuku ya Billion 2.7. inakuwaje wakae kwenye chumba hiki cha kihuni kiasi hiki?

Hivi mnyika aliye katibu Mkuu anajitambua kweli? Haoni aibu? Wameshindwa hata kukodi au hata kuazima ukumbu makanisani wakafanyia kikao chao? Aibu hii kukaa kwenye chumba cha kihuni hakina mwanga wa kutosha wala hewa nzuri wala mpangilio wa kueleweka?

Ni vipi watu waliopo humu watakuwa huru kutoa mawazo yao wakati mazingira yenyewe ni mabaya na ya hovyo kiasi hicho? Wamebanana Utafikiri watu waliosombwa na difenda ya police. Halafu unakuta bila aibu wanabetua midomo yao wanasema eti wanaweza kuongoza Nchi.

Tazama tu nyuso zao walivyojikatia tamaa ,kupoteza matumaini,kujawa na msongo wa mawazo na kuwa hapo walipo kimwili tu lakini kiakili unaona kabisa hawapo hapo kabisa. Kwa hakika CHADEMA ni chama cha hovyo kuwahi kutokea hapa Nchini.

Tufike mahali kama Taifa tukubaliane kuwa ni CCM pekee yenye uwezo wa kuongoza Taifa letu na ni CCM pekee yenye uwezo wa kutoa Rais bora na hakuna sababu ya kufanya uchaguzi wa Urais zaidi ya kumuidhinisha tu yule aliyepitishwa na CCMView attachment 3081557.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
takriban miaka 48 ccm imeliibia taifa hili miaka yote hiyo ulitegemea nini
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Rejea historia ya Nchi.Utakuwa Hujui Ofisi zote za CCM zimetokana na Kodi A wananchi wote.Fareness Ungekuwa baada ya Mifumo wa vyama vingi Mali zote za CCM zingerudi serikalini ili vyama Vyote vianzie kwenye level moja.Pili Unasema issue ya Ruzuku huku ukijua uchakachuaji unavyofanyika kuhesabu Kura ili vyama vingine vipate mgawo- mdogo.Usishagilie ushindi inapatikana Kwa hila.
Billion 2.7 pesa ya Ruzuku mmepeleka wapi? Kila mwezi mnapokea millioni 107 kama Ruzuku zinakwenda wapi? Hilo pagala ndio Ofisi kwa miaka yote 32?
 
Back
Top Bottom