Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Mimi na swali,sisi kama nchi tumejifunza nini kwenye iyo royal tour?ni nini unaona tunatakiwa tufanye?au tusubiri royal tour nyingine?
Tunajifunza kuendeleza kuitangaza Nchii yetu
 
Fuatilia data za revenues Tanzania vs Kenya utuletee basi. Tunasubiri. Sio watu mnakuwa wabishi tu. Hapa ni kuelimishana. Ila ninavyojua Kenya always tourism revenue zinazidi Tanzania year after year.
Weka basi wewe data tuone hilo zidio la year after year
 
The most prominent Nyumbu ever 🤥
 
Huyu jamaa anataka kuhujumu nini!!! Amekosaje kutamka neno "Kilimanjaro" au na kuweka picha yake katika Ubora wake wote.
 
Mtu mwenye basi la scania akiingiza laki 2 na nusu na mwenye IST akaingiza laki 1 na nusu? Kwa muda huo huo wa kufanya kazi hio hio.. nani hapo ana faida kubwa?
Sijajua. Labda kwa mapato ambayo ni indirect ila soma report za revenue utaona tofauti
 
Samia kiboko kwakweli,
 
Hii tumepigwa hakuna kitu hapo
 
Kwa hiyo hii video ndio itatuletea watalii milioni tano? Sitaki kununa lakini unafahamu vitu vinavyomfanya mtalii achague destination? Hii video hatujui imegharimu kiasi gani kuitengeneza lakini tunazo video zaidi ta 500 zinazoeleza utalii wa Tanzania. Wenzetu Austria jiji la Salsburg wanapokea watalii zaidi ya milioni tatu kwa sababu tu ni home of Mozart pale nyumbani kwa Mozart zinapigwa nyimbo zake mfululizo masaa 24 kwa mwaka mzima. Sisi kama tupo serious tunaweza kumtumia marehemu Nyerere kutuletea watalii lukuki hasa utalii wa educational. Nyerere ni holder wa PhD nyingi honorary kutoka vyuo mbali mbali duniani tutumie hiyo fursa. Utalii sio wanyama na mbuga tu mfano ni huo wa Salsburg na Mozart pia kuna nyumba ndogo sana imehifadhiwa nyumbani kwao Adolf Hitler hii ni kivutio kikubwa sana kiasi cha watalii zaidi ya milioni mbili hutembelea hapo kwa mwaka. Utalii sio kubahatisha ni taaluma
 
I see [emoji23][emoji23][emoji23] Ni juhudi tu zinaweza kufanikiwa au kutofanikiwa..tusibeze
 
Tz ilivyo na wajinga wengi (maccm) ni utalii tosha, wake wajionee maccm yasiyo na akili
 
I see [emoji23][emoji23][emoji23] Ni juhudi tu zinaweza kufanikiwa au kutofanikiwa..tusibeze
Mkuu, niko serious. Kazi iliyofanyika si ndogo. Nina imani na mafanikio makubwa kutokana na kazi hii. Vinginevyo, nielezwe tofauti malengo ya uandaaji wa filamu hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…