PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.



Naona huyu mama yenu ana shida kubwa !
Naona huyu Mama sasa hivi Kama ana matatizo kwa kupenda Sana kuwaongelea Watu binafsi wanaomkosoa kwa kuwasakama badala ya kuongelea kuhusu suala la Maendeleo ya Nchi.

Akumbuke kwamba yeye ni Rais wa Watu wote, wale wanaomsifia na wale wanaomkosoa, wale wanaompenda na wale wasio mpenda. Kamwe, huwezi kupendwa na Watu wote kabisa katika Jamii, kamwe haiwezekani.

Barrack Obama wakati akiwa madarakani akiwa bado Rais wa Marekani aliwahi kusema kwamba "maendeleo ya kweli ni Matokeo yatokanayo na changamoto za wakosoaji, wala siyo wingi wa Wafuasi
 
Unadhani asipokuwa jasiri,mkweli,akijibweteka na kutohofia watesi ataishi miaka mingapi duniani?
Akikubali kustaafu kwa heshima ataishi kwa amani na furaha. Akilazimisha itamlazimu kuumiza watu wengi zaidi, na kila unayemgusa huyo ni potential enemy kunzia wakati huo. Maadui wakiwa wengi sana hauwezi ku survive madarakani.
 
Back
Top Bottom