PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sidhani kama Kuna mtu anataka kupendwa na Kila mtu badala yake nimeelezea shida binafsi za Mpina na Samia Kwa mda mrefu.

Kilichotokea ndio hayo ya chuki za mda ila isingekuwa hivyo angeweza tuu kutojibu au kujibia kwamba huwezi kufanya Kila kitu maendeleo ni hatua but shinikizo la chuki zao ndio limewagikisha hapo.

Mfano Mpina hajawahi ku accomplish jambo lolote la serikali ni kupinga Mwanzo mwisho
Maana ya accomplish ni nini
 
Mnaomhukumu na kumshambulia Rais mnajaribu kutuaminisha kwamba nyie na wengine ni malaika.
Hakuna anayesema ni malaika, hivyo basi, ajue ili afanikishe ana wahitaji akina Mpina na wengine Kwa kusikiliza hoja na kuzifanya kazi inapowezekana
 
Back
Top Bottom