blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,696
- 17,306
Nafikiri atakuwa interrogation by nowAmeharibu Kila kitu
Nafikiri atakuwa interrogation by nowAmeharibu Kila kitu
Anaweza kupotezwa kabisaNafikiri atakuwa interrogation by now
Ni hatari mnoo...Anaweza kupotezwa kabisa
😂😂😂Rais samia naye ana PHD?
Ila ni Shujaa, kwenda kinyume na mwenyekiti wa chama na Rais, ni jambo la kishujaaNi hatari mnoo...
Kaonewa ..lakini kaibuka shujaaa…tuambieni juu ya maiti zilizotolewa kafara hukoMbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele
Kwani leo mama yenu hajasema ma Luhaganization tuyaache huko?Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele
Siasa haitaki hayo mambo mkuu ..Mpina amekataa unafiki
Rais gani hana koremeo anajisbishana kila kitu ?Mama muimba taarab
Hapo sasa unamaanisha hata Mpina nimchimia tumbo?Kuna wakina mpina wengi tu ndani ccm,ila ndio wameamua kutetea matumbo yao maana wanajua wakivaa mabomu kinawaramba
Huyo Raisi ni sifuri,sema mmechelewa kumfahamu..mimi namsamehe tu kwa kuwa hakuna haja ya kusumbua kichwa na form 4 failureMh. Rais ashariiwe aache kufanya personification si sawa kwa kiongozi wa kitaifa. Hapo ameshamfanyia character assassination mwenzake na kwakua ana power kubwa kuliko huyo mwanasiasa mwenzake...Angemwacha wananchi waamure kama anafaa au laa, kuwalazimisha raia waliomvhagua wamwone jinsi amonavyo yeye si sawa hasa kwakua yeye ni kiongozi wa kitaifa
Ezaaa byeee Makambo teeehhHuyu Jamaa ni clone ya Patrice Lumumba...
😂😂😂😂
Basi hao sio kina mpinaKuna wakina mpina wengi tu ndani ccm,ila ndio wameamua kutetea matumbo yao maana wanajua wakivaa mabomu kinawaramba
Ile ya ndugai ilikuwa "ngumi kavu" bora angeipiga na glovuToka kwa Ndugai ndipo nilipojua kuwa ukiingia kwenye 18 zake hakuachi na wala hakusamehi.