Afuate maneno ya Mhubiri 7:17Kwa hiyo afuate falsafa yako ya "Ogopa uishi"?
Mkuu wee ni KC?Huyu Jamaa ni clone ya Patrice Lumumba...
😂😂😂😂
Sizani kama bi mkubwa ata himili kampeni maana ana haribu zaidiMpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Ugwaji wake utaisha na atakua mpole tuMpina Amepiga Kwenye Mshono Mbichi Wa Gwaji Boy
Ugwaji wake utaisha na atakua mpole tu
Free palestine 🇵🇸
Iran 🇮🇷 🔥🔥
Huyu mama tunamdai hela zetu,trilioni 105 kapeleka wapi?
Kama mmechoka kuishi mwende ISRAEL mkapambane kumsaidia, anabondwa kishenzi
Tatizo Whisky kabla ya kuhutubia.Naona huyu mama yenu ana shida kubwa !
Naona huyu Mama sasa hivi Kama ana matatizo kwa kupenda Sana kuwaongelea Watu binafsi wanaomkosoa kwa kuwasakama badala ya kuongelea kuhusu suala la Maendeleo ya Nchi.
Akumbuke kwamba yeye ni Rais wa Watu wote, wale wanaomsifia na wale wanaomkosoa, wale wanaompenda na wale wasio mpenda. Kamwe, huwezi kupendwa na Watu wote kabisa katika Jamii, kamwe haiwezekani.
Barrack Obama wakati akiwa madarakani akiwa bado Rais wa Marekani aliwahi kusema kwamba "maendeleo ya kweli ni Matokeo yatokanayo na changamoto za wakosoaji, wala siyo wingi wa Wafuasi
Kafanyaje Mpina?Mpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
"Mama" alisemaga yeye si mtu wa kusimama na kufokafoka ...yeeh yeeh yeeh...!Kumbe ile ilikuwa ni totally gibberish!
What is that!?Mkuu wee ni KC?
Ameharibu Kila kituMpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!