Kwa hiyo afuate falsafa yako ya "Ogopa uishi"?Akikubali kustaafu kwa heshima ataishi kwa amani na furaha. Akilazimisha itamlazimu kuumiza watu wengi zaidi, na kila unayemgusa huyo ni potential enemy kunzia wakati huo. Maadui wakiwa wengi sana hauwezi ku survive madarakani.
Kwani kafabyaje, tupeni hints tulio mbali na matukio.
Kwakweli nimejiskia vibaya sana ..Yan kama outsider flan , ila fresh akae na wananchi wake na huyo ndie mbunge wao WA ukweli kabisa anayewafaa kwa miaka mingine hata 10 inayokuja ..mbanga za kujionesha awaachie wengine wanvyofanya mana wabunge wengine ndio hao wanaotaka kupewa plate namba za kwao au wenza wao kupita vip kama wao...wengine hata kushuka kwenye gari ama kujichanganya na wananchi wanaona kinyaa hawajiamini mana wanajua hakuna wanalofanya zaidi ya kusifu na kuabudu miungu ...Yaani wenzake wamemuacha mpweke utadhani kafanya kosa gani sijui! Kutetea ngedere ni tatizo kubwa.Asikate tamaa.Awategee ndati au mbula kwenye chupa yenye shingo nyembamba,atawakamata wanafiki wake.
Maneno mema sana.Kwakweli nimejiskia vibaya sana ..Yan kama outsider flan , ila fresh akae na wananchi wake na huyo ndie mbunge wao WA ukweli kabisa anayewafaa kwa miaka mingine hata 10 inayokuja ...aache zile mbanga za kujionesha mfalme mana wabunge wengine ndio hao wanaotaka kupewa plate namba za kwao au wenza wao kupita vip kama wao...wengine hata kushuka kwenye gari ama kujichanganya na wananchi wanaona kinyaa hawajiamini mana wanajua hakuna wanalofanya zaidi ya kusifu na kuabudu miungu ...
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele
Mh. Rais ashariiwe aache kufanya personification si sawa kwa kiongozi wa kitaifa. Hapo ameshamfanyia character assassination mwenzake na kwakua ana power kubwa kuliko huyo mwanasiasa mwenzake...Angemwacha wananchi waamure kama anafaa au laa, kuwalazimisha raia waliomvhagua wamwone jinsi amonavyo yeye si sawa hasa kwakua yeye ni kiongozi wa kitaifaNaona huyu mama yenu ana shida kubwa !
Naona huyu Mama sasa hivi Kama ana matatizo kwa kupenda Sana kuwaongelea Watu binafsi wanaomkosoa kwa kuwasakama badala ya kuongelea kuhusu suala la Maendeleo ya Nchi.
Akumbuke kwamba yeye ni Rais wa Watu wote, wale wanaomsifia na wale wanaomkosoa, wale wanaompenda na wale wasio mpenda. Kamwe, huwezi kupendwa na Watu wote kabisa katika Jamii, kamwe haiwezekani.
Barrack Obama wakati akiwa madarakani akiwa bado Rais wa Marekani aliwahi kusema kwamba "maendeleo ya kweli ni Matokeo yatokanayo na changamoto za wakosoaji, wala siyo wingi wa Wafuasi
Naamini Kuna Akina mpina 2500 huko ccm naamin hivyo...Mama mi mtu wa VISASI. Nafikiri salamu zimefika kwa Mpina. Ndani ya CCM hatoboi.
"Mama" alisemaga yeye si mtu wa kusimama na kufokafoka ...yeeh yeeh yeeh...!Kumbe ile ilikuwa ni totally gibberish!Mama mi mtu wa VISASI. Nafikiri salamu zimefika kwa Mpina. Ndani ya CCM hatoboi.
Wasio mdai hela zao tupewe, hii ilikuwa bonge la punchHuyu mama tunamdai hela zetu,trilioni 105 kapeleka wapi?
Tatizo ni kuwa ''kila mtu anashughulikiwa kwa wakati wake'' na wengine wanabaki kimya. Huu udhaifu unatumiwa sana na ma-dikteta. Nina uhakika CCM bado kuna wengine watalia kilio cha mbwa kipindi cha uteuzi wa nafasi za ubunge. Yule Mwita aliyekuwa CHADEMA akatoka kwa mbwembwe na kupewa ubunge ameshaanza kulia-lia. Mwingine ni Gambo!Mpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Punguza manenoMpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Ngumi kidevu hio ukiotewa mwanangu aaaah lazima ukae chini kwanza ...alipigwa Joshua hio jamaa zake walirusha tauloWasio mdai hela zao tupewe, hii ilikuwa bonge la punch
Jamaa anajuaga kulia kweli...mwita Gani analialiaTatizo ni kuwa ''kila mtu anashughulikiwa kwa wakati wake'' na wengine wanabaki kimya. Huu udhaifu unatumiwa sana na ma-dikteta. Nina uhakika CCM bado kuna wengine watalia kilio cha mbwa kipindi cha uteuzi wa nafasi za ubunge. Yule Mwita aliyekuwa CHADEMA akatoka kwa mbwembwe na kupewa ubunge ameshaanza kulia-lia. Mwingine ni Gambo!
yakipunguzwa sentensi inabadilikaPunguza maneno