PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.

Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?

sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.

Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Watanganyika waliojigeuza machawa ndio tatizo kubwa ,kwa sasa unafiki/chuki umetamalaki ,Rais ndio anaongoza kwa chuki za wazi wazi na wanafiki wanashangilia
 
Tarimba alisema wabunge wapewe number maalumu ili kuepuka vitu kama hivi mkawaka moto😁

1000040421.jpg
 
Huenda machoni pake anaona ni Sukuma gang vs Sa100!
Usimchezee Mfalme kwa sababu ndiye ameshika Upanga mkononi.
Hata akiamuru Mpina akamatwe na kuwekwa kizuizini anaweza.
 
Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.

Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?

sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.

Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Kwani wabunge huwa wanakuwa na walinzi? Kama ni ndiyo hao walinzi wanawekwa na nani? Nani anawagharamia? Waziri mwenyewe hana mlinzi ndiyo itakuwa mbunge wa kawaida!!!! Msikuze mambo.
 
Mh. Rais ashariiwe aache kufanya personification si sawa kwa kiongozi wa kitaifa. Hapo ameshamfanyia character assassination mwenzake na kwakua ana power kubwa kuliko huyo mwanasiasa mwenzake...Angemwacha wananchi waamure kama anafaa au laa, kuwalazimisha raia waliomvhagua wamwone jinsi amonavyo yeye si sawa hasa kwakua yeye ni kiongozi wa kitaifa
Mpina akili hana yuko jimbo la mtu mwingine alitakiwa tuasalimie wananchi tu na kwenda kukaa chini
 
Narudia tena haya Magenge ambayo yanajiita Vyama yataendelea kuteketeza Mawazo Mbadala (Muhimu sana Kuleta Wagombea Binafsi) hivi vyama vishakuwa Magenge....

Muarobaini ni mgombea binafsi
 
Back
Top Bottom