PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.

Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?

sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.

Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Na maana ya uchaguzi wa kidemokrasia si ni sisi wananchi tuchague mbunge tunaemtaka??yaan sio swala la nani anamtaka nani swala ni wananchi wanamtaka nani.mbona mwaka huu mtapaniki sana maana wabunge wengi walioshinda ile 2020 hawakuwa machaguo ya wananchi.
 
Mpina akili hana yuko jimbo la mtu mwingine alitakiwa tuasalimie wananchi tu na kwenda kukaa chini
Halafu ya Moyoni mwake angeyasemea wapi?

Waliompa nafasi ndio watajuta,maana lazima mtifuano upo.
Wanamjua misimamo yake kwanini wampe
nafasi wakati siyo Jimbo lake?
 
Kwani wabunge huwa wanakuwa na walinzi? Kama ni ndiyo hao walinzi wanawekwa na nani? Nani anawagharamia? Waziri mwenyewe hana mlinzi ndiyo itakuwa mbunge wa kawaida!!!! Msikuze mambo.
Nimemiona katibu wa wizara ya ndani ana ulinzi, waziri wa mambo ya ndani na walinzi wa ulinzi ana uljnzi ..... waziri karibia wengi wana ulinzi mkuu. May be makengeza yangu yanaona siyo
 
Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.

Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?

sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.

Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Kama wanamhitaji na CCM haimtaki anaweza kwenda chama kingine
 
Kiufupi hatuna rais Bali tunabombonya tu.Mpina kaeleza kero za jimboni kwake kama barabara ya vumbi inatakiwa kujengwa Kwa lami lakini aliyerithishwa urithi wa Nchi anachukia.Anapenda kusikia akisifiwa tu Kila sehemu

Mfukuzeni basi
 
Mwendazake alipompora Heche Maiki na kujiongelesha shit alikuwa sawa na yeye ni Rais ila Kwa Samia hapana 😂😂

Chuki kama hizi hazitawasaidia kumtoa Samia kwenye kiti,unaweza kumkosoa bila kudhalilisha utu wake na bahati mbaya huna Cha kumfanya
 
kwa jicho la kawaida mpina hajakosea. lakini ni kwamba Mpina alifanya political hypocrisy wakati huohuo Mwenyekiti wetu hawezani na mambo ya kuvunga,

Kama ipo nioneshwe lakini ni mara chache sana Mpina kupongeza yaliyofanywa na chama.

Mwenyekiti kamwambia afuate utaratibu kwa mahitajio anayoyataka katika jimbo lake, sio kosa.

Sina hakika kama Mwenyekiti ndiye katoa order Mpina apande bodaboda kama ni kweli kanyanganywa gari.
Mwenyekiti hapungukiwi kitu Mpina akipanda vieite.

Acha kupandikiza chuki.
 
Hakuna wa kumfukuza labda jina halitarudi.

Sema Mpina ana chuki na Rais miaka Mingi and so Rais pamoja n Cheo chake ni binadamu kama wengine so Kwa vyovyovyote vile atakuwa na hisia hasi na Mpina.

Wale wanaomlaumu Samia waulize waliwahi mlaumu Mwendazake alipompora Heche maiki?
Ukitaka kupendwa na kilamtu jua kuna shida mahali.. Kristo mwenyewe na utakatifu wake kuna baadhi walimchukia
 
Niliona video mpina akiondoka kwa miguu bila ulinzi wala gari kwenye mkutano wa CCM baada ya kumuambia samia wananchi wanamuhitaji.

Katika mkutano ule samia alionekana kukasirika bila sababu na niliona mpina akiondoka kwa miguu mkutanoni, suala hili linatupa picha gani ?

sisi kama nchi ndio tume fikia kwenye hii hatua tunaelekea kubaya sana tunapaswa kuzinduka usingizini na kusema hii ni nchi yetu sote, kitendo cha samia kuambiwa wananchi wanamuhitaji sio kosa wala tusi na kitendo cha mpina kuondoka mkutanoni bila usafiri wakati yeye ni mbunge hakikubariki na kina chafua taswira ya nchi yetu hii sio nchi ya kifalme.

Kitendo kile hakija jificha kila mtu mwenye akili timamu ameona wasizani sisi hatujaona na kwa kitendo kile ni wazi tuna raisi mbaya sana.
Kwani alinyang' anywa gari yake!!?
 
Ukitaka kupendwa na kila jua kuna shida mahali.. Kristo mwenyewe na utakatifu wake kuna baadhi walimchukia
Sidhani kama Kuna mtu anataka kupendwa na Kila mtu badala yake nimeelezea shida binafsi za Mpina na Samia Kwa mda mrefu.

Kilichotokea ndio hayo ya chuki za mda ila isingekuwa hivyo angeweza tuu kutojibu au kujibia kwamba huwezi kufanya Kila kitu maendeleo ni hatua but shinikizo la chuki zao ndio limewagikisha hapo.

Mfano Mpina hajawahi ku accomplish jambo lolote la serikali ni kupinga Mwanzo mwisho
 
Ni vema kutenganisha mambo binafsi na ya jumuiya... Mkubwa always huongozwa na hekima na tafakuri mdogo anapokengeuka
 
Back
Top Bottom