pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Vile vibali vya "sugar" ndio sheedah yote!
Pole sana Mpina, Mungu ni mwema siku zote.
Pole sana Mpina, Mungu ni mwema siku zote.
🙌🙌Mbona Kuna Mfalme mmoja alitaka arudishwe nyumbani akakataliwa? Upanga aliuacha wapi? Umesahau ushuhuda uliotolewa?
Hata kama unamchukia, kwanini basi wapiga kura wake walikuwa hapo kama Jimbo siyo lake?Mpina akili hana yuko jimbo la mtu mwingine alitakiwa tuasalimie wananchi tu na kwenda kukaa chini
Yaani kutetetea mijitu isiyojitambua ni kazi sana!Yaani wenzake wamemuacha mpweke utadhani kafanya kosa gani sijui! Kutetea ngedere ni tatizo kubwa.Asikate tamaa.Awategee ndati au mbula kwenye chupa yenye shingo nyembamba,atawakamata wanafiki wake.
Naona anatembea what is wrong with kutembea? auMbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele
Ni kweli Mpina hakuwa honest alitumia facts ku express chuki zake, but na kiongozi naye angeweza kubadili hiyo ikawa kura kwake....Mfano angesema nashukuru sana mbunge wangu kuzileta hizi kero mbele yangu Leo, ndugu wananchi wa Kanda ya ziwa kwakua tumeanza na daraja la Busisi ambalo limetumia karibu robo ya budget ya nchi, basi awamu inayofuata kama Mungu atapenda na ninyi mtaniunga mkono tutamalizia hayo madaraja matatu aliyayawakilisha kwangu Mh. Mbunge....hapo kura zote za Kanda umezizoa na umemtandika adui yako Kwa fimbo aliyotaka kukuchapia...Sidhani kama Kuna mtu anataka kupendwa na Kila mtu badala yake nimeelezea shida binafsi za Mpina na Samia Kwa mda mrefu.
Kilichotokea ndio hayo ya chuki za mda ila isingekuwa hivyo angeweza tuu kutojibu au kujibia kwamba huwezi kufanya Kila kitu maendeleo ni hatua but shinikizo la chuki zao ndio limewagikisha hapo.
Mfano Mpina hajawahi ku accomplish jambo lolote la serikali ni kupinga Mwanzo mwisho
KAMA BUNGENI HAWASIKILIZI KWENYE MKUTANO MTASIKIA. UJUMBE UMEFIKA
Hizo ndio silika za wanawake ndugu;kujibu kwa mihemuko na hisia.Naona huyu mama yenu ana shida kubwa !
Naona huyu Mama sasa hivi Kama ana matatizo kwa kupenda Sana kuwaongelea Watu binafsi wanaomkosoa kwa kuwasakama badala ya kuongelea kuhusu suala la Maendeleo ya Nchi.
Akumbuke kwamba yeye ni Rais wa Watu wote, wale wanaomsifia na wale wanaomkosoa, wale wanaompenda na wale wasio mpenda. Kamwe, huwezi kupendwa na Watu wote kabisa katika Jamii, kamwe haiwezekani.
Barrack Obama wakati akiwa madarakani akiwa bado Rais wa Marekani aliwahi kusema kwamba "maendeleo ya kweli ni Matokeo yatokanayo na changamoto za wakosoaji, wala siyo wingi wa Wafuasi
Tatizo elimu mkuu.Ni kweli Mpina hakuwa honest alitumia facts ku express chuki zake, but na kiongozi naye angeweza kubadili hiyo ikawa kura kwake....Mfano angesema nashukuru sana mbunge wangu kuzileta hizi kero mbele yangu Leo, ndugu wananchi wa Kanda ya ziwa kwakua tumeanza na daraja la Busisi ambalo limetumia karibu robo ya budget ya nchi, basi awamu inayofuata kama Mungu atapenda na ninyi mtaniunga mkono tutamalizia hayo madaraja matatu aliyayawakilisha kwangu Mh. Mbunge....hapo kura zote za Kanda umezizoa na umemtandika adui yako Kwa fimbo aliyotaka kukuchapia...
Kisha ndugu wananzengo, ni ukweli kwamba bei ya pamba hairidhishi lakini kwakua tumeshaanza mikakati ya kuboresha mazao na masoko yetu kama ambavyo mmeona budget ya kilimo ilikuwa kubwa mara tatu ya miaka mingine basi awamu ijayo kama Mungu atakubali na ninyi kunipigia kura basi nitahakikisha pamba lnakuwa zao la kwanza katika kutengeneza ubora wake na soko la uhakika ambalo kwanza bei haitayumba wala kupunguza Bali kuongezeka maradufu.(MH. WAZIRI WA KILIMO UNANISIKIA? tukibahatika kupita uchaguzi na wewe utakuwa Waziri kwakua umefanya vizuri awamu hii, hapo umeshamaliza ugomvi wao binafasi)...Hapo tena kura zote za Kanda ya ziwa umezichukua, unamsifia kidogo na JPM Kisha unamlaza chini adui yako....Washauri sijui wanamkomoa mama? Na hasa huyo Waziri asiye na Soni kumsema mwenzake mbele ya boss kama mtoto aliyedeka
Mimi ni MTANGANYIKA.Apanic nini? Who are you?
Urais ni taasisi siyo mtu! Tatizo kubwa ni Chawa wanadhani kwakubaghaza wenzao ndiyo wanafanikiwa kuwa karibu na sufuria la nyamaTatizo elimu mkuu.
Uongozi ni kitu cha asili mtu anazaliwa nacho.
Huyu anaforce alizaliwa kuhudumia kwenye ndege au mahotelini.
Uwezo wake mdogo sana .
Kaondoka kichwa chini.....katepeta.Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele
Yr 107 na pointHuyu mama tunamdai hela zetu,trilioni 105 kapeleka wapi?
AsanteYr 107 na point