cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Kwani ni wapi kadhalilishwa huyo Rais?Mwendazake alipompora Heche Maiki na kujiongelesha shit alikuwa sawa na yeye ni Rais ila Kwa Samia hapana 😂😂
Chuki kama hizi hazitawasaidia kumtoa Samia kwenye kiti,unaweza kumkosoa bila kudhalilisha utu wake na bahati mbaya huna Cha kumfanya