Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
AmenMungu amlinde dhidi ya watekaji!
Huyu Jamaa ni clone ya Patrice Lumumba...Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi.
Tawfique!🫸🫷😝Mpina kavuruga ziara yote, Mama anaenda kulala na viatu leo, Wallah Wabhillah!
Kwani kafabyaje, tupeni hints tulio mbali na matukio.Alie karibu nae atume lipa namba, kaka anywe balimi hapo
Yaani wenzake wamemuacha mpweke utadhani kafanya kosa gani sijui! Kutetea ngedere ni tatizo kubwa.Asikate tamaa.Awategee ndati au mbula kwenye chupa yenye shingo nyembamba,atawakamata wanafiki wake.Vipi naona dreva alitaka kumgonga kabisa ....
Unadhani asipokuwa jasiri,mkweli,akijibweteka na kutohofia watesi ataishi miaka mingapi duniani?Roho iko juujuu kipindi hiki, tatizo analazimisha mambo.
Hata akifanikiwa hatoweza kuwa na amani, muda wote ataishi kwa hofu ya visasi vya watu.
Kuna wakina mpina wengi tu ndani ccm,ila ndio wameamua kutetea matumbo yao maana wanajua wakivaa mabomu kinawarambaMpina amekataa unafiki
Inferiority complex/hallucinations/psychosis effections.watu wenye uwezo mdg wanapenda sana kusifiwa
Akikubali kustaafu kwa heshima ataishi kwa amani na furaha. Akilazimisha itamlazimu kuumiza watu wengi zaidi, na kila unayemgusa huyo ni potential enemy kunzia wakati huo. Maadui wakiwa wengi sana hauwezi ku survive madarakani.Unadhani asipokuwa jasiri,mkweli,akijibweteka na kutohofia watesi ataishi miaka mingapi duniani?