Mkuu hata kule Changanyikeni wanajazana, tofauti huku wanajazana kwenye magari kule wanajazana kwenye darasa.Wazazi si ndo mnapenda school na ingilishi midiamu za bei nafuu ili muonekane na nyie wakishua✊
Changanyikeni wana school bus?? Punguza kudemka kidogoMkuu hata kule Changanyikeni wanajazana, tofauti huku wanajazana kwenye magari kule wanajazana kwenye darasa.
Tunafikiri tofauti sana.Changanyikeni wana school bus??punguza kudemka kidogo
kasema kwenye darasa we ndo unademka mzee duuChanganyikeni wana school bus??punguza kudemka kidogo
Huku ni nchi gani?
Mimi nimezungumzia kwenye gari ilo walopanda,ikitokea ajali si wanakufa wote??Kwahiyo hiyo hiace ndiyo darasa!kasema kwenye darasa we ndo unademka mzee duu
Ndio ndiooTunafikiri tofauti sana.
Wengi tumesoma huko,mi nimejikita kwenye usalama wao barabarani!!Mkuu hata kule Changanyikeni wanajazana, tofauti huku wanajazana kwenye magari kule wanajazana kwenye darasa.
sawa mkuu,shda ya kufakamia viporo asubuhiMimi nimezungumzia kwenye gari ilo walopanda,ikitokea ajali si wanakufa wote??Kwahiyo hiyo hiace ndiyo darasa!