Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

Tazama namna watoto wa shule walivyobananishwa kwenye hili gari

Sasa bora hivyo au bora akanyanyaswe kwenye daladala ya sh. 500 na kushushwa njia panda ya kuelekea shuleni?

Kama unaona mwanao anateseka mlipie gari private uber kila siku elfu 10 tu! Awe anaenda na kurudi home kibosi
 
Vitu vingine wazaz tufatilie shule za watoto wetu hiyo n hatar Sana
 
Hakuna lenye afadhali. Two wrongs do not make a right.
Ambaye anaona mwanae anateseka na usafiri na yupo willing kumlipia 10K per day ni jambo la mbolea sana. Nataka niianze hii biashara
 
Kwahio mnaona ni sawa watoto wakirundikwa hivyo kwenye hicho ki hiace?
Mzazi wake ndio uwezo ulipoishia hapo, inatukost sana kupenda makuu! Kama huna uwezo mwanao mpe buku 2 daily apande daladala tu.
 
Nani wakulaumiwa?
Yule ambae anajua kufanya hivi ni kosa na bado anafanya. Inawezekana mzazi hajui kama mwanae anarundikwa hivyo. Kama anajua na ameridhika ana shida mahali sio bure.
 
Yule ambae anajua kufanya hivi ni kosa na bado anafanya. Inawezekana mzazi hajui kama mwanae anarundikwa hivyo. Kama anajua na ameridhika ana shida mahali sio bure.
Kila Mzazi lazima amsindikize mtoto wakati wa kwenda shule na ampokee wakati wakurudi!Kwa hiyo kuna mzazi mmoja ataona walivyorundikwa ataongea na dereva!
 
Kila Mzazi lazima amsindikize mtoto wakati wa kwenda shule na ampokee wakati wakurudi!Kwa hiyo kuna mzazi mmoja ataona walivyorundikwa ataongea na dereva!
Most likely house maids ndio wanawapandisha watoto kwenye school bus.
 
Duuuh aisee hapo watoto wanaweza kuambukizana magonjwa hatari, lakini pia wanaweza kuumia vibaya.
hiii ya kujazana darasani Kwa shule za kayumba Daslam ni kawaida nilishawahi kuona pale shule ya msingi Pius Msekwa Tegeta na nikaongea na mkuu wa Ile shule mwaka Jana wanawezaje kufundisha darasa Moja lenye wanafunzi 💯 na ushee kiasi kile Kwa darasa la pili na huo ni mkondo A pekee na Wana mikondo A mpaka D na yote yapo full mpaka wengine wamepewa shift ya mchana!

Daaaa alijibu kiunyonge sana kwamba hiyo ndio changamoto kubwa sana wanayokumbana nayo lakini still serikali Ina fanya mambo Kwa kusua sua sana kujenga miundo mbinu wezeshi
Kwa eneo mbanano Kama lile ilipasa pajengwe majengo ya ghorofa japo Moja Moja Ili angalau miundo mbinu iwe wezeshi ila serikali ya CCM Haina maono yoyote wapo wapo tu hata hawana mbinu mbadala

Nikaona Kwa mwendo huu hatutafika!
 
Umasikini unakusumbua.

Niliangalia kwa umakini ili nione namna watoto wamebananishwa ila sijaona kitu kibaya.

Kama hutaki na au huwezi kupeleka wa kwako kaa kimya, na siyo kutueleza ujinga
 
Wazazi si wanataka usafiri wa bei cheee

Ova
 
Mbona sio wengi. Hiyo Hiace inajaa watu 20 na wao wapo 25 tu. Kaonewa Dereva.
Waje Morogoro vijijini waone Gari kama hiyo Dyna inajaza watu 40 mpaka juu ya carrier na mizigo ya mhaindi maharage ndizi zinapandalisha nao milima ya Uluguru.
Waje waone Moro Mgeta Nyandira wanavyojaza
 
Back
Top Bottom