Kama wasomi ndo wanafanya hivi tunasafari ndefu sana na hii inaonyesha hawako seriousHizi watanzania kibao wanatengeneza Wapo mafundi Wa kuchomelea wanunda mpaka hiace za kuchonga magari kibao ya mkoa yanachongwa body hapa hapa bongo zinachomelewa ngoma inakaa road kusema kijana katengeneza gari naona ni ujinga fulani wakati huku mtaani watu wanachonga mabasi na yanapiga masafa dar arusha dar mwanza famasihala ww
Tena sio kidogo maana wanazidiwa na mafundi wetu wa mtaani na wanazidiwa na ujuzi kwa umbali mrefu sana imagine mtu anaunda bus kuanzia chases inaposimama mpka ngoma inatemebea road na inakaguliwa iko njema kila mifumo na mtu huyo ukimuuliza kaishia la 7 au form 4 kazama garage mambo yanaenda. Kazi ipo tutafika tunatembea kama viweteKama wasomi ndo wanafanya hivi tunasafari ndefu sana
@Moderator Moderator picture hazifunguki kabisaaaaSamaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Wewe una kipimo cha kupima Akili?Kila aliyeyejadili hiyo picha ya gari kwa kuisifu au kuiponda bila kuomba apewe specification ya hiyo gari ajihesabu kuwa hana akili au ana akili ndogo mno tena mno hahitqji mtu wa kumwambua huna akili
Yeyote kabla kujadili alitakiwa kuomba apewe Specification ya hiyo gari iliyoko kwenye picha
Huwezi jua mkuu,labda washawahi unda mavituzBongo tunajuaga kukosoa tu ila ajabu wakosoaji hawana walichowahi unda hata kwa kujaribu
Vyema tukawapa pongezi kwakuwa wamedanyakile ambacho wengine hatujaweza ubora ni ishu ya badaye muonekano ni swala la baadaye pia
Mwanzo mzuri vijana
Hakuna cha specs hapo.Kila aliyeyejadili hiyo picha ya gari kwa kuisifu au kuiponda bila kuomba apewe specification ya hiyo gari ajihesabu kuwa hana akili au ana akili ndogo mno tena mno hahitqji mtu wa kumwambua huna akili
Yeyote kabla kujadili alitakiwa kuomba apewe Specification ya hiyo gari iliyoko kwenye picha
Ukiwaona hao jamaa niulizie kwa Nini wameweka taa za reverse mbele?Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Ni mfano, ni mfano huo Ulizaa wazee wa zamani kama kweli walikuwa wanapendaa kuvaa mabatiki, au kusubiria sukari madukanija lilokomaliwa enzi za mwalimu! Sidhani unalijua gari lelote lililotengenezwa enzi "io" na likakomaliwa! Unabisha?
Ndo wapi huko 😆Angalau wamewajibu kunyaland, kuna kipindi walitutambia humu jukwaani walipounda ile ngarangara yao wakiita gari....
Huu ni utundu au ubunifu?🤣Samaleko!
Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
Sishindani na wewe ila kasome kamusi ya kiswahili kama kuna neno mtelemko wewe kama huwez tamka r pole
Kiwanda cha magari kinachozalisha magari kinanunua matairi kiwanda kingine na baadhi hata engine wananunua toyota hat3ngenezi kila kituENGINE umetengeneza mwenyewe? au umeunganisha tu vitu vya watu! kama umetengene system ya engene na matairi, big up! ila kama umenyofoa kwingene, tafuta vitu vya kufanya
Kwani hao wa UDSM kuna kifaa wamezalisha wenyewe?Kiwanda cha magari kinachozalisha magari kinanunua matairi kiwanda kingine na baadhi hata engine wananunua toyota hat3ngenezi kila kitu