Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Changia nawe maana wanaochangia ni Watz wote,

Pia Si vibaya ukapeewa kadi ya CDM, unafaa Kwa kazi ya uenezi.
Kuniambia niwe mwanachama wa CHADEMA ni kunitukana ndugu yangu. Utaendaje kwenye chama kilichokosa dira na muelekeo.
 
Kuniambia niwe mwanachama wa CHADEMA ni kunitukana ndugu yangu. Utaendaje kwenye chama kilichokosa dira na muelekeo.
Kwamba wewe una akili kumzidi Mzee Lowwassa, Sumaye au Mzee Membe waliohamia upinzani?

Kwani Kuna uadui wa kudumu katika siasa?

Pia kumbuka, siasa Si uadui,

Kubali tu upewe card ya CHADEMA, tena unaletewa online.
 
thib
nithibitishie hapa pasi na shaka kama unazo akili timamu na kama lishawahi kushiriki darasa lolote walilowahi kufundisha utafiti/ RESEARCH
 
Kilaza ktk ubora wako
 
CHADEMA= HAMAS
 
Punguza kihele hele huku ni Chadema uchonganishi peleka CCM Kwa wambeya wenzako hunaga zuri hata Moja la Chadema?
Acheni kupaniki.kikubwa kinachohitajika hapa ni majibu ya hoja. Vipi CHADEMA ina wanachama hai wangapi?
 
CHADEMA Ni majitu maongo maongo sana. Wazee wa kupika takwimu.sasa awamu hii wanaendelea kuumbuka vibaya sana. Nilishawaambia kuwa CHADEMA imepuuzwa na watanzania na hakuna mwenye akili Timamu anayeweza kuwaunga mkono wala kuwashabikia.
"Maccm ni majitu ya ovyo ovyo na yenye roho za kishetani". Kwa taarifa yako walioitisha mchango siyo Chadema bali ni wanaharakati walioguswa na madhila aliyopitia Tundu Lissu. Chama kingeitisha mchango huo na kuratibiwa na ngazi zote za uongozi hiyo hela ingepatikana hata kwa siku moja tu. Punguza chuki kwa Chadema haitakuongezea shibe wala wingi wa siku za kuishi hapa duniani. Nayasoma sana maandiko yako yaliyojaa chuki,kebehi na dharau nyingi kwa Chadema na wanachama wake.
 
CCM wezi watupu halafu vijitu kama wewe utakuta kuanzia mavazi mpaka akili ni vimaskini vya kutupa, pole
 
CCM wezi watupu halafu vijitu kama wewe utakuta kuanzia mavazi mpaka akili ni vimaskini vya kutupa, pole
CCM Ni chama kilichobeba matumaini ya watanzania. Kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya wewe kuyatumia kujikwamua kiuchumi.
 
Unaposema wanaharakati walioguswa na madhila yaliyomkuta Lissu .je unamaanisha ninyi CHADEMA hamjaguswa kuweza kumchangia ili apate gari mpya kabisa?
 
Hakuna hoja hizo ni viroja kwani wanaomchangia form Samia toka mwezi January hadi sasa mbona wana million 3 pekee??
ccm haona wanachama?!
Unasemaje? Huoni mpaka sasa yamechangiwa mamillioni kwa mamillioni? Hujaona pesa zinachangwa hadi millioni mia moja kwa mkupuo? Unafahamu walimu peke yao walichangia kiasi gani?
 
Unaposema wanaharakati walioguswa na madhila yaliyomkuta Lissu .je unamaanisha ninyi CHADEMA hamjaguswa kuweza kumchangia ili apate gari mpya kabisa?
Soma tena nilichoandika. Unakurupuka sana dogo. Maria Sarungi katangazia huko X ,jee ni wangapi katika wanachama wa Chadema nchi nzima wanaingia huko? Ndiyo maana nimekuambia kama ni Chadema ndiyo wangeitisha huo mchango wangewashirikisha viongozi wa ngazi zote. Jaribu kuelewa somo hivi shuleni ulikuwa unafanyaje ukishika paper unakurupuka tu kujibu bila kuelewa swali ili uwe wa kwanza kumaliza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…