Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Naona umenijibu hoja yangu vizuri lakini umenipa maswali mengi sana;;;! Unataka taifa lisigawike,je UPI ni msimamo wako juu ya viongoza ambao bila kupepesa Macho kuna elements za kuligawa taifa???
Viongozi kama lisuu wanapaswa kukemewa na kupingwa pamoja na kukataliwa na watanzania wote. Ni lazima tupeleke ujumbe mzito kwa watu kama Lissu kuwa tunahitaji siasa lakini siyo siasa za kutugawa na kutengeneza nyufa na mipasuko kwa Taifa letu.
 
Sijapata taarifa za kuchanga,

Hata hivyo info hazijatembea ipasavyo
 
Sijapata taarifa za kuchanga,

Hata hivyo info hazijatembea ipasavyo
Kama unaona hazijatembea basi zitembeze wewe. Watu hawataki ujinga wa kumchangia mtu kununua gari la kifahari la mamilioni kwa mizunguko yake binafsi.
 

Kura na gari binafsi zinahusiana vipi!

Yaani kama wewe ni mjinga kiasi cha kufikiria kulikuwa hakuna wizi wa kura 2020 bado umekuwa msukule dada yetu
 
Atengeneze tu ile VX yake maana hawezi tena kuinunua na aliowategemea hawawezi kumnunulia.
 
Kura na gari binafsi zinahusiana vipi!

Yaani kama wewe ni mjinga kiasi cha kufikiria kulikuwa hakuna wizi wa kura 2020 bado umekuwa msukule dada yetu
Ninyi si huwa mnapinga magari ya kifahari? Imekuwaje sasa mnataka gari ya millioni mia tatu? Ninyi hamjitambui kabisa.
 
Kwani vituo vya kumchangia vilikuwa vingapi nchi nzima.

Matarajio ilikuwa wachangiaji nchi nzima wawe wangapi.

Na kila kituo idadi ya waliojitokeza kuchangia walikuwa wangapi.

Ni watu wangapi ncji nzima hawakujitokeza kumchanhia Lissu.

Bwana Lucas karibu.
 
Nawe ambaye ambaye akili ni kimavi?
 
Una tafsiri mbovu juu ya dhana ya uzalendo.
Nakushauri ukasome vizuri dnana ya uzalendo.
Unachofanya wewe hapa jukwaani kwa machapisho yako yasiyokuwa na kichwa wala miguu ni upotoshaji na uchawa uliopitiliza wala sio uzalendo
Huyo hana shida km wewe, na kweli nimemwelewq ni mzalendo
 
Lengo ni kuchangisha millioni mia tatu ili anunue gari la kifahari kwa ajili ya shughuli zake binafsi na starehe zake huku ninyi mkiendelea kuhangaika tu.lakini pia vituo vya kukusanyia pesa hizo ni simu yako mwenyewe au kadi yako ya benki
 
Dah, umeandika wee... Kifupi mimi ni mwanacdm ila sijafuatilia kinachoendelea kuhusu michango na sina mpango wa kuchanga. Wala hakuomba kuchangiwa. Tofautisha kuomba kura na kubitaji kuchangiwa kununua gari
 
Dah, umeandika wee... Kifupi mimi ni mwanacdm ila sijafuatilia kinachoendelea kuhusu michango na sina mpango wa kuchanga. Wala hakuomba kuchangiwa. Tofautisha kuomba kura na kubitaji kuchangiwa kununua gari
Unasemaje hakuomba wakati unaona hadi anajirekodi akiomba michango?
 
Kama kuna members wanakufuatilia hapa JF na wamekuwa wakikuona kama wewe ni Kichwa Chao!,Aisee nawaonea huruma!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Lipo kundi kubwa linatamani kumchangia hata mia mia, lkn ndo hvy hata mia hawana na hawajui kesho watakula nn!
 
Lipo kundi kubwa linatamani kumchangia hata mia mia, lkn ndo hvy hata mia hawana na hawajui kesho watakula nn!
Siyo kweli.watanzania wamegoma kumchangia mtu anayetaka gari la starehe na kifahari kwa raha zake mwenyewe.
 
Acha wivu,mbona hujapata hata mmoja na kupigakwako debe kote huko😁
 
Kaka Luka ww umechanga shingapi??
Yaani mdogo wangu niache kumpa hela wifi yako ephen halafu nikampe Lissu anayetaka gari la kifahari kwa starehe na mizunguko yake binafsi mjini? Hapo bado akinunua ataanza kutaka achangiwe tena hela ya mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…