Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

Mwashamba mshamba asiyejielewa hata ukiweka mbwa ikulu huyu mshamba atasema hewala baba rais!!
 

Hii picha alioonesha sio nzuri hata kidogo sijui tatizo ni elimu, kutokuwa na uzalendo au ubinafsi,, ila huyu hafai kuwa raisi hata kidogo
 

Huyu jamaa anaitia aibu chadema na kuiharibu kabisa kwa mambo yake ya kipuuzi haya
 
Hii picha alioonesha sio nzuri hata kidogo sijui tatizo ni elimu, kutokuwa na uzalendo au ubinafsi,, ila huyu hafai kuwa raisi hata kidogo
Ni ubinafsi tu na kutaka mteremko kwa kila kitu. Hapo bado ataanza kuomba kuchangiwa hela za mafuta.
 
kupiga kura hakugharimu pesa,hivyo wingi wa michango ya gari siyo kipimo halisi cha wingi wa kura.
 
Ni mbinafsi na kujifanya mjuaji sana.

Mimi sina uanachama wala sitetei chama chochote ila kama lisu ataiwakilisha chadema na mh. Samia kwa upande wa CCM,, nawashauri wagombea wa vyama vingine kuwa huu ndio wakati wao waje na sera nzuri pia wawe watu wazalendo wakutosha wataweza kupita na kijiji cha raia,, kwa sasa hivi vyama viwili viko na shida sana
 
Kwakweli ww mkuu akili yako haipo sawa na kama ipo sawa basi njaa inakuendesha sana na hakika itakuja ikuweke mahala pabaya.

Sio kila mtu ni mpumbavu. Kuna wengine wanajielewa.
 
Ndugu zangu watanzania,

Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya pazia wana kucheka tu na kukuona kama sinema tu.

ili.
Mmempiga risasi na hakufa.. bado mnamfuatilia na visenti vyake.
 
Yaani mdogo wangu niache kumpa hela wifi yako ephen halafu nikampe Lissu anayetaka gari la kifahari kwa starehe na mizunguko yake binafsi mjini? Hapo bado akinunua ataanza kutaka achangiwe tena hela ya mafuta.
Kaka kutoa ni moyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mbona hamtaki tumehuru na katiba mpya??
Dogo unaumia sana na uwepo wacdm niiichogundua ma
ccm mnaigopa sana cdm

Ndo maana hamtaki tume huru mnajua mzikibwake

Simple analysis nenda nec kawaombe matokea halisi ya uraisi ambayo hayaja chakachuliwa ya 2020
Yaliyomfanya magufuli augue mpaka kifo 17.03.2021

Alafu uje hapa tulinganishe na takwimu zako za kuchangishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…